Unapata wapi ujasiri wa kumwacha kwa kashfa Mpenzi wako ambaye ana picha zako zako utupu?

Mwalimu wa waalimu mbele ya waaaaaalimuπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚
 
Hii post isiguswe na mtu yeyote. Kama kuna ushuru nitalipa
 
Watu wanajiua mjue, psychological torture hiyo, huwezi kukaa sawa wakati utupu wako unatembezwa kuanzia insta, x, fb nk...labda kama ulishakata kamba
Mtu ameshindwa Kuona aibu kuonwa utupu wake na wanaume wengi aliopita nao,anawezaje Kuona aibu uchi wake kuonwa na akina anko T(duuh,ila huyuπŸ™Œ)...itashangaza sana
Kujiua waweza jiua tu ukishachoka kuishi,kwa sababu yoyote ile
 
Mbona anaachwa fresh tu. Akivujisha naenda police🀣🀣.
Kwahiyo ukienda police ndio waliosambaziwa watapotrza kumbukumbu au utupu wako utakua haujaonekana. (Wanawake akili zao hua ziko wanapokalia)

Kuna kafala kamoja kalinizingua nikawanakamfokea kaka niambia "nausijaribu kunigusa ukinipiga napenda police" aise ndio ghafla nikaamua kukazibua Kofi Moja la tani kama kumi kakainuka uso kama umetimwa Amira nikakwambia "nenda police sasa tuone kama kama huo msura utarudi sawa" shenzi
 
Huwa nafikiria hivi ila nikikumbuka kesi yake ilivyo kubwa napotezea
Yule mwanamke kanichafua Sana
Wenzako wanachimba madini madhahaby ww kutwa upo uvinza alafu unakuja unalalamika et umezalilishwa...

Acha tabia yako mambo ya chumvi yaache jisafishe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Weee koma kusema wanawake akili zipo tunapokalia, sawa?

Kwahiyo kama mtoto wako akibakwa, hautaenda police kwasababu hata mbakaji akifungwa ndio mtoto ameshabakwa?
 
Ni kweli kua kisimi chako sio tofauti sana na vingine lakini faragha Yako sio tu Yako yakinibinalinda heshima Yako.

Tafakari hao watoto wako (kama unao) wakiona kisimi chako au baba Yako na mama Yako wanaona kisimi chako vipi bado mtazamo wako ni kisimi chako hata kikionekana sawa tu.

Je mume wako (kama hata umeolewa basi) akija kuona picha za utupu wako ulipokua unafanya mapenzi huko awali, je pia msimamo wako bado ni acha aone tu kisimi ni kisimi tu ??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…