mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Wazazi wengi wanaumia sana kuona watoto wao hawafanyi vizuri darasani, lakini mbona huku mtaani wakali darasani ni vilaza tunakutana pamoja kwenye kutafuta cash, na mara nyingi tunazidiwa na wale vilaza.
Mimi napenda mtoto awe na uwezo wa kati darasani ili awe na muda wa kujifunza vingi kuliko uwezo wa juu sana au chini sana.
Mimi napenda mtoto awe na uwezo wa kati darasani ili awe na muda wa kujifunza vingi kuliko uwezo wa juu sana au chini sana.