mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Nadhani tufupishe elimu ya darasani then kitaa elimu iwe ya muda mrefu awe anafanyiwa assessment ama unasemajeUkiona mwanao anatumia muda mwingi kujisomea ili afanye vzuri darasan tambua hana akili hana uwezo wa fikra na hatakuja kupambana na maisha nje ya darasa hata kama ataongoza wenzake ngazi ya shule/chuo
Watu wengi wanaofanya vzuri ktk masomo ni watu dhaifu waoga na hawajiamini ndio maana baada ya kuhitimu elimu zao wakiingia mtaani wanaishia kuwa masikini wa kutupwa kwasabab kitaa hakitak elimu yako inataka maarifa yako...
🤣🤣🤣🤣Wawe kati kati, wakiwa na akili nyingi afu baba yao sina huoni ni tatizo ?