Unapendelea chakula gani?

Unapendelea chakula gani?

Mi napenda vyakula vingi,ila wali naupa kipaumbele lol
 
ah! hapa ndizi nyama laini na utumbo kwa mbali,kwa juu parachch na maji bariiid....utanioa bila mahari!!.
 
Napenda ndizi nyama hata zikiwa mchemsho nainjoy thats ma favorite

Chapati maharage na
Pilau
 
wali nazi na makange ya kuku/mbuzi mie hoii....hapo na juice ya karoti ama passion
 
Napenda sana Makukuru mixer githeri! Nikishushia na glass moja ya mtindi basi kesho hii hapa
 
Ugali bamia na nyanyachungu uwa nainjoy sana nikila
 
Huu mremba jamani natamani ifike siku nionje maana story zake ni nyingi kuwa ni mtamu...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

My sister usiombe uwe na ugali na nyama choma pembeni...halafu mrenda umekatiwa na pilipili kichaa vidogovidogo...
 
Back
Top Bottom