Unapewa vikosi hivi viwili na Kim wa north Korea kwamba lazima urudi na kombe utachagua kikosi gani hapo

Nilitaka nipite tu kwenye huu Uzi ila ntakua sijatendea haki moyo wangu





Kikosi B kombe lazima



Kina wapambanaji hasa


Best attackers mess ronaldo neymar wanakupa goli dk yyte



Xavi. Iniesta kings of passes n assists



Bufon analindwa na best defenders




Kikosi A kina wachezaji ila wrote ma bishop uwajani



Wabinafsi kinoma








Ko A ubingwa lazima
 
Wee jamaa wacha utani. Huo ukuta wa A utaweza kupitwa na forward gani kwa mfano? Labda Okwi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…