Makipa. Hawa ni 50/50
Full back. Kwa maana ya wingback Marcelo na Alves ni bora kuliko Carlos na Cufu. Kwenye hii idara timu B nawapa 80 A 20
Central defenders.
Maldini na Ramos wapo level moja. Pique na Puyol nao wana viwango sawa. Hapa napo ni 50/50
Midfilders
Xavi Hernandez, Lujan Andre Iniesta na Tonny Kroos ni bora kuliko hao wooote wa kundi A
Attacker
Hendry japo ni mkongwe hajafikia uwezo alio nao Neymar. Cr7 na Di lima hawa wanauwezo karibu sawa. Ila tuache unazi cr7 ni mkali. Mwisho dinho na king Messiah. La pulga wate tunajua shughuli yake. Hapa tena kundi B wanaongoza.
Hitimisho
A 0-3 B
B ni timu nzuri kuliko A