wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,293
- 3,945
Mkuu hiyo A ni size ya kina pele na garincha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Leo kuna mtu alikuwa mbishi kama wewe akakutana na taarifa kutoka fifa ya kuwa huyo mesi cha mtoto asee kuna wazee wamefanya yote anayoyafanya sasa tena amefanya ya wachezaji wote wakiwemo kina ronadinho,Wabongo na mpira wapi na wapi! Ni wachache sana ....cha kushangaza ukitaja kizazi bora kuwahi kutokea cha akina Messi na wenzie unaambiwa umeanza kufatilia mpira juzi😀😀, mwingine anakuambia unamiaka 18. Wabongo katika ubora wao wa kujisemea.
View attachment 688469
"MESSI"Huyu ndo mchezaji ambae anawasumbua vichwa watu duniani na baadhi yao wamo humu humu....so kila anaekuja anawika miaka miwili au mitatu anapotea lakini Messi yupo pale pale...best player in all generation.
I know that mnamlenga King Messi asiyekuwa na mpinzani hadi leo hii.
Makipa. Hawa ni 50/50
Full back. Kwa maana ya wingback Marcelo na Alves ni bora kuliko Carlos na Cufu. Kwenye hii idara timu B nawapa 80 A 20
Central defenders.
Maldini na Ramos wapo level moja. Pique na Puyol nao viwango sawa. Hapa napo ni 50/50
Midfilders
Xavi Hernandez, Lujan Andre Iniesta na Tonny Kroos ni bora kuliko hao wooote wa kundi A
Attacker
Hendry japo ni mkongwe hajafikia uwezo alio nao Neymar. Cr7 na Di lima hawa wanauwezo karibu sawa. Ila tuache unazi cr7 ni mkali. Mwisho dinho na king Messiah. La pulga wate tunajua shughuli yake. Hapa tena kundi B wanaongoza.
Hitimisho
A 0-3 B
B ni timu nzuri kuliko A
Tuachie kikosi A wenyewe tunaowajua hao wazeee ni balaaaa goli olver khan A.K.A MIKONO BUKU 😀 😀 😀 😀 😀 😀Jaman almost Wachezaj weng wa Squdra A,,wengi wetu hatukuweza kuona Fire lao enzi wakiwika,Binfsi I was too young,,So, lazima nichague kile nincho thibitisha kwa Macho yangu,ila siyo Nadharia ya kusmuliwaaaaaaa
Huyu dogo wenu Mess angekutana na Papaa Roberto Carlos si angekunya ulendaulenda. Sijui angepita wapi
We ndio ujui soka kabisa. Yaani Alves aanzie bench umpange Evra? Wewe utakuwa una vichembechembe vya manchester united.Mtoe puyol weka vidic Mtoe pique weka ramos, mtoe Dani weka evra
Watu wamekariri kila kikongwe kiabudiwe akina de Lima,zizzou na wrote hao they were the best tumewaona ila B wapo moto ase hicho kiungo tu hatari Andre xavi kroos hapo mpira unatafutwa kwa tochiMakipa. Hawa ni 50/50
Full back. Kwa maana ya wingback Marcelo na Alves ni bora kuliko Carlos na Cufu. Kwenye hii idara timu B nawapa 80 A 20
Central defenders.
Maldini na Ramos wapo level moja. Pique na Puyol nao wana viwango sawa. Hapa napo ni 50/50
Midfilders
Xavi Hernandez, Lujan Andre Iniesta na Tonny Kroos ni bora kuliko hao wooote wa kundi A
Attacker
Hendry japo ni mkongwe hajafikia uwezo alio nao Neymar. Cr7 na Di lima hawa wanauwezo karibu sawa. Ila tuache unazi cr7 ni mkali. Mwisho dinho na king Messiah. La pulga wate tunajua shughuli yake. Hapa tena kundi B wanaongoza.
Hitimisho
A 0-3 B
B ni timu nzuri kuliko A
Ona flank. Dan Alves na Marcelo....Watu wamekariri kila kikongwe kiabudiwe akina de Lima,zizzou na wrote hao they were the best tumewaona ila B wapo moto ase hicho kiungo tu hatari Andre xavi kroos hapo mpira unatafutwa kwa tochi
Hebu acheni kukariri kila kikongwe kiabudiwe
Hii safu ya kiungo ya Kroos,xavi,Iniesta kinawapoteza hao A ...
Xavi ni controller ,engine ,master ,iniesta controller fundi ,kroos master pass hapo pass zinapigwa muda wote ball possession 70-30
Messi no words to describe him playmaker, striker ,dribbler ,passer
Rinaldo&Ney
Hapo A wanachapwa ...naenda B
Xavi,iniesta,kroos,Messi weka mbali na watoto hapo ball possession 70-30
Atakayepinga ni yule anayekariri
Ona flank. Dan Alves na Marcelo....
Naapa mbuzi aning'ate A wangepigwa kipigo cha ulimboka.
Mkuu Leo kuna mtu alikuwa mbishi kama wewe akakutana na taarifa kutoka fifa ya kuwa huyo mesi cha mtoto asee kuna wazee wamefanya yote anayoyafanya sasa tena amefanya ya wachezaji wote wakiwemo kina ronadinho,
Anaitwa Pele ww kubali tu hujui mpira ila ww ni shabiki tu wa mesi kwa kuwa anakupa raha kwenye tv kubwa hapo baani,huyo messi hata Dunga hajamzidi ww ukitajiwa hata Khan unajua alikuwa kipa wa wapi
Si ajabu ni sawa na watu wanavyotunishana misuli kuhusu Diamond na kiba wakat facts zinaamua ila kwa kuwa mna mihemko ya ujana basi mnaona mnajua soka kuliko tuliowakojolea Mama zenu wakawazaa leo kwenye utandawazi
Huyo rivaldo kwanza kati hapawezi yy anakaa nyuma ya striker ndio chanzo cha yy kuondoka Barca ,Gerrard aah ..yaani hapo xavi muda wote anapiga pass mtangazaji muda wote unamsikia akisema chavi chavi ,iniesta ,kroos doh salalale ndio unawaweka Gerrard na Rivaldo washindane na akina kroos,xavi,iniesta kati?,Rivaldo kati haweziOna flank. Dan Alves na Marcelo....
Naapa mbuzi aning'ate A wangepigwa kipigo cha ulimboka.