Unapewa vikosi hivi viwili na Kim wa north Korea kwamba lazima urudi na kombe utachagua kikosi gani hapo

Unapewa vikosi hivi viwili na Kim wa north Korea kwamba lazima urudi na kombe utachagua kikosi gani hapo

Mwalimu hashindanishwi na mwanafunzi....

Zidane>>>>>Ronaldo
>>>>>Ramos
>>>>>Kroos
>>>>>Marcelo
 
Wabongo na mpira wapi na wapi! Ni wachache sana ....cha kushangaza ukitaja kizazi bora kuwahi kutokea cha akina Messi na wenzie unaambiwa umeanza kufatilia mpira juzi😀😀, mwingine anakuambia unamiaka 18. Wabongo katika ubora wao wa kujisemea.

View attachment 688469
"MESSI"Huyu ndo mchezaji ambae anawasumbua vichwa watu duniani na baadhi yao wamo humu humu....so kila anaekuja anawika miaka miwili au mitatu anapotea lakini Messi yupo pale pale...best player in all generation.

I know that mnamlenga King Messi asiyekuwa na mpinzani hadi leo hii.
Mkuu Leo kuna mtu alikuwa mbishi kama wewe akakutana na taarifa kutoka fifa ya kuwa huyo mesi cha mtoto asee kuna wazee wamefanya yote anayoyafanya sasa tena amefanya ya wachezaji wote wakiwemo kina ronadinho,

Anaitwa Pele ww kubali tu hujui mpira ila ww ni shabiki tu wa mesi kwa kuwa anakupa raha kwenye tv kubwa hapo baani,huyo messi hata Dunga hajamzidi ww ukitajiwa hata Khan unajua alikuwa kipa wa wapi

Si ajabu ni sawa na watu wanavyotunishana misuli kuhusu Diamond na kiba wakat facts zinaamua ila kwa kuwa mna mihemko ya ujana basi mnaona mnajua soka kuliko tuliowakojolea Mama zenu wakawazaa leo kwenye utandawazi
 
Makipa. Hawa ni 50/50
Full back. Kwa maana ya wingback Marcelo na Alves ni bora kuliko Carlos na Cufu. Kwenye hii idara timu B nawapa 80 A 20

Central defenders.
Maldini na Ramos wapo level moja. Pique na Puyol nao wana viwango sawa. Hapa napo ni 50/50

Midfilders

Xavi Hernandez, Lujan Andre Iniesta na Tonny Kroos ni bora kuliko hao wooote wa kundi A

Attacker
Hendry japo ni mkongwe hajafikia uwezo alio nao Neymar. Cr7 na Di lima hawa wanauwezo karibu sawa. Ila tuache unazi cr7 ni mkali. Mwisho dinho na king Messiah. La pulga wate tunajua shughuli yake. Hapa tena kundi B wanaongoza.

Hitimisho

A 0-3 B
B ni timu nzuri kuliko A
 
Makipa. Hawa ni 50/50
Full back. Kwa maana ya wingback Marcelo na Alves ni bora kuliko Carlos na Cufu. Kwenye hii idara timu B nawapa 80 A 20

Central defenders.
Maldini na Ramos wapo level moja. Pique na Puyol nao viwango sawa. Hapa napo ni 50/50

Midfilders

Xavi Hernandez, Lujan Andre Iniesta na Tonny Kroos ni bora kuliko hao wooote wa kundi A

Attacker
Hendry japo ni mkongwe hajafikia uwezo alio nao Neymar. Cr7 na Di lima hawa wanauwezo karibu sawa. Ila tuache unazi cr7 ni mkali. Mwisho dinho na king Messiah. La pulga wate tunajua shughuli yake. Hapa tena kundi B wanaongoza.

Hitimisho

A 0-3 B
B ni timu nzuri kuliko A

Pamoja. Wapo ambao wameanza kushabikia mpira kipindi cha kikwete na magufuli soon watakuja kukupinga.
 
Jaman almost Wachezaj weng wa Squdra A,,wengi wetu hatukuweza kuona Fire lao enzi wakiwika,Binfsi I was too young,,So, lazima nichague kile nincho thibitisha kwa Macho yangu,ila siyo Nadharia ya kusmuliwaaaaaaa
Tuachie kikosi A wenyewe tunaowajua hao wazeee ni balaaaa goli olver khan A.K.A MIKONO BUKU 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Huyu dogo wenu Mess angekutana na Papaa Roberto Carlos si angekunya ulendaulenda. Sijui angepita wapi

Wewe umeanza lini kushabikia mpira? Umesahau roberto carlos alichofanywa na Messi? Nenda youtube utamkuta. Tatizo ubishi umewazidi hata kuingia youtube mnaona tabu.
 
Hicho kikosi B ukiwachezesha na Brazil ile ya Kombe la Dunia 2002 Korea Kusin na Japani tu hata usiweke hao wengine, kila baada ya dak 10 watakuwa wanaokota mpira kwenye nyavu zao
 
Makipa. Hawa ni 50/50
Full back. Kwa maana ya wingback Marcelo na Alves ni bora kuliko Carlos na Cufu. Kwenye hii idara timu B nawapa 80 A 20

Central defenders.
Maldini na Ramos wapo level moja. Pique na Puyol nao wana viwango sawa. Hapa napo ni 50/50

Midfilders

Xavi Hernandez, Lujan Andre Iniesta na Tonny Kroos ni bora kuliko hao wooote wa kundi A

Attacker
Hendry japo ni mkongwe hajafikia uwezo alio nao Neymar. Cr7 na Di lima hawa wanauwezo karibu sawa. Ila tuache unazi cr7 ni mkali. Mwisho dinho na king Messiah. La pulga wate tunajua shughuli yake. Hapa tena kundi B wanaongoza.

Hitimisho

A 0-3 B
B ni timu nzuri kuliko A
Watu wamekariri kila kikongwe kiabudiwe akina de Lima,zizzou na wrote hao they were the best tumewaona ila B wapo moto ase hicho kiungo tu hatari Andre xavi kroos hapo mpira unatafutwa kwa tochi
 
Watu wamekariri kila kikongwe kiabudiwe akina de Lima,zizzou na wrote hao they were the best tumewaona ila B wapo moto ase hicho kiungo tu hatari Andre xavi kroos hapo mpira unatafutwa kwa tochi
Ona flank. Dan Alves na Marcelo....
Naapa mbuzi aning'ate A wangepigwa kipigo cha ulimboka.
 
Hebu acheni kukariri kila kikongwe kiabudiwe

Hii safu ya kiungo ya Kroos,xavi,Iniesta kinawapoteza hao A ...

Xavi ni controller ,engine ,master ,iniesta controller fundi ,kroos master pass hapo pass zinapigwa muda wote ball possession 70-30

Messi no words to describe him playmaker, striker ,dribbler ,passer

Rinaldo&Ney

Hapo A wanachapwa ...naenda B

Xavi,iniesta,kroos,Messi weka mbali na watoto hapo ball possession 70-30

Atakayepinga ni yule anayekariri

Soon watakuijia kukuambia umeanza kufatilia mpira kipindi cha kikwete 😀 hawachelewi hawa watu.
 
Mkuu Leo kuna mtu alikuwa mbishi kama wewe akakutana na taarifa kutoka fifa ya kuwa huyo mesi cha mtoto asee kuna wazee wamefanya yote anayoyafanya sasa tena amefanya ya wachezaji wote wakiwemo kina ronadinho,

Anaitwa Pele ww kubali tu hujui mpira ila ww ni shabiki tu wa mesi kwa kuwa anakupa raha kwenye tv kubwa hapo baani,huyo messi hata Dunga hajamzidi ww ukitajiwa hata Khan unajua alikuwa kipa wa wapi

Si ajabu ni sawa na watu wanavyotunishana misuli kuhusu Diamond na kiba wakat facts zinaamua ila kwa kuwa mna mihemko ya ujana basi mnaona mnajua soka kuliko tuliowakojolea Mama zenu wakawazaa leo kwenye utandawazi

Mkiishiwa hoja munaanza kutoa matusi.
 
Ona flank. Dan Alves na Marcelo....
Naapa mbuzi aning'ate A wangepigwa kipigo cha ulimboka.
Huyo rivaldo kwanza kati hapawezi yy anakaa nyuma ya striker ndio chanzo cha yy kuondoka Barca ,Gerrard aah ..yaani hapo xavi muda wote anapiga pass mtangazaji muda wote unamsikia akisema chavi chavi ,iniesta ,kroos doh salalale ndio unawaweka Gerrard na Rivaldo washindane na akina kroos,xavi,iniesta kati?,Rivaldo kati hawezi

Hapo kwa Alves na Marcelo nawapa 50/50 na akina Carlos

B wapo moto balaa
 
Back
Top Bottom