Unapiga side hustle gani kukuingizia kipato?

Mpwayungu Village njoo huku kuna mwalimu eti anapiga hela!
 
Vizuri sana mkuu, katika vita vya kupambana na umasikini inahitaji kutumia nguvu kubwa sana ili kuweza kushinda vita. Lazima tufanye kazi. Na sio kazi tu but smart..
 
Kwema mkuu,naomba ufafanuzi kazi ya sales and marketing inakuwaje hio
 
Kwa nature ya kazi nayofanya sina kabisa muda wa kufanya side hustle. Kuanzia saa 2 asubuhi hadi 11 jioni siku sita za wiki.
Nimebaki kufuma mikeka na mara moja moja forex ila sishauri mtu afanye kama huna roho ngumu au pesa za mawazo.
Uwekeze pia itakusaidia kama unaweza Forex ,hisa hazitakusumbua pia mkuu na Uwekezaji WA pamoja kama UTT AMIS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…