Unapiga side hustle gani kukuingizia kipato?

Mko vizuri wakubwa?
Tupeane mbinu za kuishi aisee,tuambiane apart from your permanent job unapiga side hustle gani kujiongezea kipato?
Binafsi i did bachelor of Commerce in Accounting chuo flani hapo dar,nikatafuta kazi za fani yangu nikakosa nikaanza kupiga kazi za sales and marketing, haikua rahisi kucopy na hizi kazi but as time goes on unaona tu kumbe mambo ni rahisi tu,so nikaja nikajiona kazi ninayofanya inanipa uhuru sana hivyo badala ya kuutumia huo uhuru vibaya better nitafute kitu kingine cha kufanya.bahati nzuri sehemu ninayokaa kuna shule flani ya secondary ilikua na uhaba wa walimu wa Commerce na bookkeeping, nikaomba niwe part time teacher wa masomo hayo husika,wakanikubalia mshahara tulianza nao ni laki 5 ila saivi wameniongezea nachukua laki 7.kuna bonus ndogo ndogo kama vile kila A ya Necta ya masomo yangu wananipa 20k,kila B wananipa 15k,mock nayo wanatoa 15k kwa 10k na mwaka huu nimezikomba hatari.so kiukweli naweza sema nayamudu maisha kiaina against all odds.
Ebu kila mmoja wetu nae ajaribu !kushare side hustle yake hapa wenzetu nao wajifunze kuliko kutegemea kipato kutoka sehemu moja tu.
Mpwayungu Village njoo huku kuna mwalimu eti anapiga hela!
 
Mko vizuri wakubwa?
Tupeane mbinu za kuishi aisee,tuambiane apart from your permanent job unapiga side hustle gani kujiongezea kipato?
Binafsi i did bachelor of Commerce in Accounting chuo flani hapo dar,nikatafuta kazi za fani yangu nikakosa nikaanza kupiga kazi za sales and marketing.

Haikua rahisi kucopy na hizi kazi but as time goes on unaona tu kumbe mambo ni rahisi tu,so nikaja nikajiona kazi ninayofanya inanipa uhuru sana hivyo badala ya kuutumia huo uhuru vibaya better nitafute kitu kingine cha kufanya.

Bahati nzuri sehemu ninayokaa kuna shule flani ya secondary ilikua na uhaba wa walimu wa Commerce na bookkeeping, nikaomba niwe part time teacher wa masomo hayo husika,wakanikubalia mshahara tulianza nao ni laki 5 ila saivi wameniongezea nachukua laki 7.

Kuna bonus ndogo ndogo kama vile kila A ya Necta ya masomo yangu wananipa 20k,kila B wananipa 15k,mock nayo wanatoa 15k kwa 10k na mwaka huu nimezikomba hatari.so kiukweli naweza sema nayamudu maisha kiaina against all odds.

Ebu kila mmoja wetu nae ajaribu kushare side hustle yake hapa wenzetu nao wajifunze kuliko kutegemea kipato kutoka sehemu moja tu.
Vizuri sana mkuu, katika vita vya kupambana na umasikini inahitaji kutumia nguvu kubwa sana ili kuweza kushinda vita. Lazima tufanye kazi. Na sio kazi tu but smart..
 
Mko vizuri wakubwa?
Tupeane mbinu za kuishi aisee,tuambiane apart from your permanent job unapiga side hustle gani kujiongezea kipato?
Binafsi i did bachelor of Commerce in Accounting chuo flani hapo dar,nikatafuta kazi za fani yangu nikakosa nikaanza kupiga kazi za sales and marketing.

Haikua rahisi kucopy na hizi kazi but as time goes on unaona tu kumbe mambo ni rahisi tu,so nikaja nikajiona kazi ninayofanya inanipa uhuru sana hivyo badala ya kuutumia huo uhuru vibaya better nitafute kitu kingine cha kufanya.

Bahati nzuri sehemu ninayokaa kuna shule flani ya secondary ilikua na uhaba wa walimu wa Commerce na bookkeeping, nikaomba niwe part time teacher wa masomo hayo husika,wakanikubalia mshahara tulianza nao ni laki 5 ila saivi wameniongezea nachukua laki 7.

Kuna bonus ndogo ndogo kama vile kila A ya Necta ya masomo yangu wananipa 20k,kila B wananipa 15k,mock nayo wanatoa 15k kwa 10k na mwaka huu nimezikomba hatari.so kiukweli naweza sema nayamudu maisha kiaina against all odds.

Ebu kila mmoja wetu nae ajaribu kushare side hustle yake hapa wenzetu nao wajifunze kuliko kutegemea kipato kutoka sehemu moja tu.
Kwema mkuu,naomba ufafanuzi kazi ya sales and marketing inakuwaje hio
 
Kwa nature ya kazi nayofanya sina kabisa muda wa kufanya side hustle. Kuanzia saa 2 asubuhi hadi 11 jioni siku sita za wiki.
Nimebaki kufuma mikeka na mara moja moja forex ila sishauri mtu afanye kama huna roho ngumu au pesa za mawazo.
Uwekeze pia itakusaidia kama unaweza Forex ,hisa hazitakusumbua pia mkuu na Uwekezaji WA pamoja kama UTT AMIS
 
Back
Top Bottom