Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Wewe:Oya!
Yeye:Niambie!
Wewe:Mzima?
Yeye:Mimi mzima wewe je
Wewe: Niko poa
Yeye:Okay
KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHAT NA MSICHANA HUYO HUYO KWA STYLE HII:
Jamaa:Mambo mrembo wewe
Msichana😛oa mzima wewe?
Jamaa:Mimi Niko poa kabisa halafu kila nikipata nafasi ya kuchat na wewe kuna hali fulani huwa najisikia amani sana hata kama nilikuwa najisikia hovyo
Msichana:Mmmh!Kivipi yaan
Jamaa:Ulivyo mzuri tu kwangu ni sababu tosha ya kujihisi hivyo sio siri umejaaliwa rafiki yangu Mungu kakupendelea sana
Msichana😀aah! Rafiki yangu huishi kunifurafisha asubuhi yote hii ushaanza kunipamba ujue maneno yako yananifanya niringe wakati sistahili.
Jamaa;Hapana unastahili kabisa kuringa wangu kweli wewe ni mzuri wala sio uongo sema tu huwezi jiona sisi ndio tunakuona
Msichana;Mh!sawa bhn asante
Jamaa:Ila sio siri wangu uongo mbaya mimi nimekupenda sipati picha nitakuwa na furaha kiasi gani utakapo nifanya mwenye bahati kwa kunipa nafasi ya kuwa na wewe
Msichana:Mh! Hapana wangu umechelewa mimi tayari nipo kwenye mahusiano ila kiukweli unanipa furaha najisikia raha sana ninapokuwa nachati na wewe
Jamaa;Ni haki yako kuwa na furaha malikia wangu kwa sasa wacha nikutakie siku njema nataka nifanye kazi moja hivi nitakujulisha baadae nikimaliza
Msichana:Asante sweetie! Ntakumiss muda huo utakapo kuwa bize ila usikawie kurudi online sawa eeh?
____________________________
Unaweza kusema huyu msichana ni cheap analainishwa na maneno tu lakini ukweli ni kwamba wanawake kwa ujumla wapo hivyo siku zote wanapenda kusikia maneno matamu kutoka kwa wapenzi wao.
Wakati mwingine unaweza kuwa na pesa na kila kitu lakini bado mpenzi wako akachukuliwa na jamaa asie na pesa kisa maneno laini tu hivyo basi acha kuongea /Au kuchati na mpenzi wako kama unavyo chati na mshikaji wako wa kijiweni.
Huyo ni mwanamke anapaswa kubembelezwa kati ya makosa tunayo fanya katka mahusiano ni kuacha mwanya mshikaji mwingine apate nafasi ya kumfurahisha mpenzi wako usiruhusu itokee