Unapo-chat na girlfriend wako kwa style hii

Unapo-chat na girlfriend wako kwa style hii

So katika huu Mfano wako ume assume wanawake au mabinti kuwa hawana kazi za kufanya huwa wanakaa tu nyumbani jukumu lao ni kusubiria maneno matamu....eti?!

Nadhani ni vema kama jamii tuwajenge vijana wetu kujua kuwa dhumuni kuu la mahusiano sio ngono za kitandani na chumbani bali na ujenzi wa taifa.

Na ndio Maana mabinti wa sasa hawana wanalojua katika kuhusiana na vijana zaidi ya kuomba omba vihela na wakishapewa walipie kwa miili yao......
 
Mimi: Oya
Yeye: Niambie
Mimi: Nikitumie kwa empesa au tigo?
Yeye: yoyote my
Mimi: Ok cheki empesa yako.
Yeye: Thank you love nimeiona, niko njiani nakuja usiondoke.
Mimi: Akh usije saivi niko bize.
Yeye; Nakuja tena usitake kuniuzi au una mwanamke mwingine/ Nishapanda bajaji
Mimi: (Nabaki kutabasamu tuu)

SASA WEWE ENDELEA KULAINISHA MANENO
😂😂😂😂😂😂😂
 
Tongoza yangu sikuhizi ni " naomba kampani yako na zawadi yako nzuri natakupa utafurahi"

Hachomoi
 
Kinyume chake wapo walimbwende wanaojua kucheza na lugha hizo za kuchombeza ili akuingize kwenye anga zake
 
Kwakujua hawana thamani Tena ndiyo maana wameingia sokoni kusaka Ng'aaru

Labda limbukeni ndiyo atafanya hayo
Siyo Siri wanawake wameshuka thamani Sana imefika mahali wanachukuliwa Bureee kabisa hakuna Cha mahari
 
Wewe:Oya!

Yeye:Niambie!

Wewe:Mzima?

Yeye:Mimi mzima wewe je

Wewe: Niko poa

Yeye:Okay

KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHAT NA MSICHANA HUYO HUYO KWA STYLE HII:

Jamaa:Mambo mrembo wewe

Msichana😛oa mzima wewe?

Jamaa:Mimi Niko poa kabisa halafu kila nikipata nafasi ya kuchat na wewe kuna hali fulani huwa najisikia amani sana hata kama nilikuwa najisikia hovyo

Msichana:Mmmh!Kivipi yaan

Jamaa:Ulivyo mzuri tu kwangu ni sababu tosha ya kujihisi hivyo sio siri umejaaliwa rafiki yangu Mungu kakupendelea sana

Msichana😀aah! Rafiki yangu huishi kunifurafisha asubuhi yote hii ushaanza kunipamba ujue maneno yako yananifanya niringe wakati sistahili.

Jamaa;Hapana unastahili kabisa kuringa wangu kweli wewe ni mzuri wala sio uongo sema tu huwezi jiona sisi ndio tunakuona

Msichana;Mh!sawa bhn asante

Jamaa:Ila sio siri wangu uongo mbaya mimi nimekupenda sipati picha nitakuwa na furaha kiasi gani utakapo nifanya mwenye bahati kwa kunipa nafasi ya kuwa na wewe

Msichana:Mh! Hapana wangu umechelewa mimi tayari nipo kwenye mahusiano ila kiukweli unanipa furaha najisikia raha sana ninapokuwa nachati na wewe

Jamaa;Ni haki yako kuwa na furaha malikia wangu kwa sasa wacha nikutakie siku njema nataka nifanye kazi moja hivi nitakujulisha baadae nikimaliza

Msichana:Asante sweetie! Ntakumiss muda huo utakapo kuwa bize ila usikawie kurudi online sawa eeh?
____________________________
Unaweza kusema huyu msichana ni cheap analainishwa na maneno tu lakini ukweli ni kwamba wanawake kwa ujumla wapo hivyo siku zote wanapenda kusikia maneno matamu kutoka kwa wapenzi wao wakati mwingine unaweza kuwa na pesa na kila kitu lakini bado mpenzi wako akachukuliwa na jamaa asie na pesa kisa maneno laini tu hivyo basi acha kuongea /Au kuchati na mpenzi wako kama unavyo chati na mshikaji wako wa kijiweni huyo ni mwanamke anapaswa kubembelezwa kati ya makosa tunayo fanya katka mahusiano ni kuacha mwanya mshikaji mwingine apate nafasi ya kumfurahisha mpenzi wako usiruhusu itokee
MWANAMKE KAMA HUNA PESA HIYO YOTE NI KAZI BUREEEE

TUU HUKO KOTE TUMEPITIA
 
Back
Top Bottom