Unapo-chat na girlfriend wako kwa style hii

Unapo-chat na girlfriend wako kwa style hii

Mimi: Oya
Yeye: Niambie
Mimi: Nikitumie kwa empesa au tigo?
Yeye: yoyote my
Mimi: Ok cheki empesa yako.
Yeye: Thank you love nimeiona, niko njiani nakuja usiondoke.
Mimi: Akh usije saivi niko bize.
Yeye; Nakuja tena usitake kuniuzi au una mwanamke mwingine/ Nishapanda bajaji
Mimi: (Nabaki kutabasamu tuu)

SASA WEWE ENDELEA KULAINISHA MANENO
Maridadi kabisaa
 
Nimecheka kwa sauti kubwa hatari
 
Wafundishe hawa watoto wa Dot Com
 
umemaliza boss [emoji3][emoji3]
 
Bongo nyosoo😁😁
 
Natamani kumuonyesha shemeji yenu sema hata Smartphone yenyewe hana maana yeye ni type ya kwanza, Sema nmeshamzoea ana maupendo ila hajui kuchat 😃😃😃😃..
Kwa hiyo we demu una date na mwanaume toleo la kwanza kabisa wale namba A sio na D hizi akili sufuri
 
[emoji23][emoji23] wataachana tu
Yeye nia yake ni apate utamu mara moja asepe, hawa maslay hata uwe na magunia ya pesa ngapi? They aren't faithful huwezi oa hawa tunapiga pumbu tunatembea kwa wife materials.
 
Stop being nice guy, unafikiri demu atakuwa na hisia na huyo anayejidai anampetpet kila saa?
 
Kama mtu hakufeel hata uandike vip kwanza kusoma ndo ataona kero

Imagine demu usiempenda akawa anakutex mi text kama hyo utaji feel vp
 
Hahaaa rafiki kuna wanawake siyo type za "you are my sunshine" sijui nini nini ni either unampa pesa ama uoneshwe exit ilipo uambiwe njia nyeupe

Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo we demu una date na mwanaume toleo la kwanza kabisa wale namba A sio na D hizi akili sufuri
Yani Plate number A kama Sio B
Kwanza salamu yenyewe inaweza kuja mda wowote unashangaa unasalimiwa saa 12, umeshindaje mamdogo?
Sikuzingine inapita tu kimya! Najua ndege wangu sihitaji manati atakuja kujieleza tu.. "Sasa unaskia mamdogo yani jana uliona kimya nilichomokea Dom siunajua kazi zangu" ukijifanya kujibizana unashangaa umepigwa Chekundu, Anataka usikilize maelezo hataki mahojiano Wakati mwingine najikuta nacheka sana kwakweli...
 
Amini,,, Hizo sifa huwa zinamwisho....

Ipo siku atakinai atakuona kawaida sana...

Wanawake sometimes wanapenda masela ambao emotion zao hawazielewi...

Mapenzi ni freestyle... Wewe chati kimahaba, kuna mwingine huko hajibu hata sms na bado anapendwa..

Akawasha gari akateleza
Hakika mkuu nimekusoma vema
 
Back
Top Bottom