Unapoamua kujihusisha na mapenzi ya JF na wana JF.

Wouzeeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jinga wewe umenikumbusha mbali
Yaaanii mambo ya "ghonzuu" jomoniiii 😂😂😂😂shuniii fayaaa
 
Alikua anafananaje [emoji45][emoji45][emoji45]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ana miguu pea mbili, kucha ndefuuu sana hata kutype anapata shida, amevaa kimini hakielewek, kigozi si kigozi, kaniki si kanikii, huko usoni sitaki kuzungumzia maana na definition of creation nisije kukufuru, nikasema kwa kuwaza "Ukiambiwa hawa ndio wanapiga bit humu km sitak mtu PM?" asalaaaleee kweli usilolijua ni sawa na usiku wa gizaa.
 
Thread ya kawaida sana but dk26 una post 80+ ningetamani ushirikiano huu uwepo hata kwenye mada serious zihusuzo maisha coz mwisho wa siku hayo mapenzi bila kueleweka mfukoni ni kucheza karata.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Oooh kumbe!!
 
Ana miguu pea mbili, kucha ndefuuu sana hata kutype anapata shida, amevaa kimini hakielewek, kigozi si kigozi, kaniki si kanikii, huko usoni sitaki kuzungumzia maana na definition of creation nisije kukufuru, nikasema kwa kuwaza "Ukiambiwa hawa ndio wanapiga bit humu km sitak mtu PM?" asalaaaleee kweli usilolijua ni sawa na usiku wa gizaa.
Hahahahahhahah
 
[emoji855][emoji855]

Hapa ukienda vibaya unaangukia kwa binti wazamani, I mean kikongwe[emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana miguu pea mbili, kucha ndefuuu sana hata kutype anapata shida, amevaa kimini hakielewek, kigozi si kigozi, kaniki si kanikii, huko usoni sitaki kuzungumzia maana na definition of creation nisije kukufuru, nikasema kwa kuwaza "Ukiambiwa hawa ndio wanapiga bit humu km sitak mtu PM?" asalaaaleee kweli usilolijua ni sawa na usiku wa gizaa.

Hahahahahahaha

PM si sehem salama jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom