Unapoamua kujihusisha na mapenzi ya JF na wana JF.

Unapoamua kujihusisha na mapenzi ya JF na wana JF.

Ana miguu pea mbili, kucha ndefuuu sana hata kutype anapata shida, amevaa kimini hakielewek, kigozi si kigozi, kaniki si kanikii, huko usoni sitaki kuzungumzia maana na definition of creation nisije kukufuru, nikasema kwa kuwaza "Ukiambiwa hawa ndio wanapiga bit humu km sitak mtu PM?" asalaaaleee kweli usilolijua ni sawa na usiku wa gizaa.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hawa ndio wakaka wa jf yarabi toba!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Imbe pod isero yawa[emoji134][emoji134][emoji134]
Nyamin... ti naseko nyombo, kendo adhuro kod nyith'indo[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Bahati nzuri nguo haiku chanika (Neo baro'wa ndasi)......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka wa mimi haki yo nuts!!
 
1. Kwanza kabisa jua idadi ya Id zako zote.

2. Ukishazijua fahamu namna ya kuzitumia na mazingira ya kuzitumia. La sivyo zitakunganishwa na utajulikana.

3. Chelewa kugawa mawasiliano ya nje ya JF kwa unayemtongoza. Unaweza kukutana na mpenzi wako.

4. Uwe na lugha nyingi kuendana na aina ya ID. Nitatolea mfano Daby anapenda kutumia neno aseeh na mwandiko fulani.

Ukijichanganya miandiko ikafanana umeliwa.

5. Jiandae kwa lolote maana siku mkigombana anaweza kukuanika hapa.

6. Usiwe na wivu... mpenzi wako ataitwa bebi na wadada/wababa wa humu.

Wajuvi ongezeeni zingine.

NB: muda mwingine unaweza kuamua kujianzishia uzi kwa ID ya kike\kiume kumrusha roho mpenzi wako ajue competition ipo.
Nimecheka sana ingawa mimi si mkulima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh mjumbe siku hizi unasu sua sana, kamati ipo mbioni kufyekelea posho zako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nipo Ndugu mjumbe, tatizo ni January hii ya mvua, na matikiti hayauziki wakati ndio hasa tunadaiwa ada...[emoji17] [emoji17]
 
Back
Top Bottom