Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Nimekuhaam shoo,.hivi ulienda kwa Cole alivyokuja mwezi huu??TPC[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu uko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuhaam shoo,.hivi ulienda kwa Cole alivyokuja mwezi huu??TPC[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu uko
Mheshimiwa mjumbe, nakuona mzee wa rula....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Daaaahhhh
Umenikumbusha habari za GiLeSi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwezi huu alikuja sijaingia insta mda ujue sema nilitumiwa text ya kuchangia sadaka nikatuma kwa simu wangekuwa wanatupa taarifa mpaka kwenye simu jamaniNimekuhaam shoo,.hivi ulienda kwa Cole alivyokuja mwezi huu??TPC
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Gilesi ni nani huyu?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mag'kisera....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mbona ni Me...!!??[emoji15] [emoji15]
Mh mjumbe siku hizi unasu sua sana, kamati ipo mbioni kufyekelea posho zako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mheshimiwa mjumbe, nakuona mzee wa rula....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Bahati nzuri nguo haiku chanika (Neo baro'wa ndasi)......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Gilesi alileta patashika humu[emoji23][emoji23][emoji23]
Wee Insta babe wewe hujaingia Ig kweli??Mwezi huu alikuja sijaingia insta mda ujue sema nilitumiwa text ya kuchangia sadaka nikatuma kwa simu wangekuwa wanatupa taarifa mpaka kwenye simu jamani
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Ana miguu pea mbili, kucha ndefuuu sana hata kutype anapata shida, amevaa kimini hakielewek, kigozi si kigozi, kaniki si kanikii, huko usoni sitaki kuzungumzia maana na definition of creation nisije kukufuru, nikasema kwa kuwaza "Ukiambiwa hawa ndio wanapiga bit humu km sitak mtu PM?" asalaaaleee kweli usilolijua ni sawa na usiku wa gizaa.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Shikamoo auntie yangu
Kweli sijaingia kwahiyo alikuja mwezi huuWee Insta babe wewe hujaingia Ig kweli??
Kwahiyo hutaki shikamoo yangu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Hebu huko!
Nyamin... ti naseko nyombo, kendo adhuro kod nyith'indo[emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji23][emoji23][emoji23]
Imbe pod isero yawa[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bahati nzuri nguo haiku chanika (Neo baro'wa ndasi)......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Kwahiyo hutaki shikamoo yangu
Nimecheka sana ingawa mimi si mkulima1. Kwanza kabisa jua idadi ya Id zako zote.
2. Ukishazijua fahamu namna ya kuzitumia na mazingira ya kuzitumia. La sivyo zitakunganishwa na utajulikana.
3. Chelewa kugawa mawasiliano ya nje ya JF kwa unayemtongoza. Unaweza kukutana na mpenzi wako.
4. Uwe na lugha nyingi kuendana na aina ya ID. Nitatolea mfano Daby anapenda kutumia neno aseeh na mwandiko fulani.
Ukijichanganya miandiko ikafanana umeliwa.
5. Jiandae kwa lolote maana siku mkigombana anaweza kukuanika hapa.
6. Usiwe na wivu... mpenzi wako ataitwa bebi na wadada/wababa wa humu.
Wajuvi ongezeeni zingine.
NB: muda mwingine unaweza kuamua kujianzishia uzi kwa ID ya kike\kiume kumrusha roho mpenzi wako ajue competition ipo.
Nyithindo adi?Nyamin... ti naseko nyombo, kendo adhuro kod nyith'indo[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Alikuja ilikuwa jmos na jpil..nikajisemea mwenyewe ningekuwepo tungeenda na shuu wanguKweli sijaingia kwahiyo alikuja mwezi huu
Nipo Ndugu mjumbe, tatizo ni January hii ya mvua, na matikiti hayauziki wakati ndio hasa tunadaiwa ada...[emoji17] [emoji17]Mh mjumbe siku hizi unasu sua sana, kamati ipo mbioni kufyekelea posho zako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]