Wana nyodo hawa viumbe as if wamewahi umba hata nzi.PM ni ya kwake, akipiga marufuku we inakuuma nini? Kwa sababu wewe umemuona mbaya hapaswi kuishi maisha yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera zako.Yule sikumshangaa mm tuu hata wa pembeni walimwona ni kituko, inshu sio alivyo, inshu ni alivyojiwekaa, ilikua ni night either anatoka date au anaendaa, mm yule akinijia vile km ni baa bora nikajifiche hata chooni au niruke fance upande wa pili ila hanisogelei haki, ni aibuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapumbavu kweliWana nyodo hawa viumbe as if wamewahi umba hata nzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85]Nikweli nimeacha tabia ya kulala kwa nyumba ya chang'aa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wengine ni made in China. Kila kitu badia, kama hapo yupo ka jini na bado ana ma make-up je akiamka asubuhi ataonekanaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji856][emoji855]Bora ya ajuza anaye bakia na asili yake, Ile ngoma ukilala ukiamka kwa zile kucha lazima awe amekukata somewhere, vidole vyenyewe vimeachana achana na vina pingili km mafungu ya tangawizi lakin yy kavifugisha makuchaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu na hizo nyodo pia huwa hawana kumbukumbu.
Hahaha wanajivunia multiple IdAlafu na hizo nyodo pia huwa hawana kumbukumbu.
ndugu mbn unalazimisha vitu ambavyo sikusemaaa, Inaniumaa? Mbaya? Na bahati nzuri nikasema kbsa sitak kuzungumzia uumbaji nisije kukufuru,PM ni ya kwake, akipiga marufuku we inakuuma nini? Kwa sababu wewe umemuona mbaya hapaswi kuishi maisha yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ww ndo ulikuwaga mtu wa mwanzoni kukuomba namba..Miaka minne, haya ushachelewa vya kutosha. Do the needfull please.
Ebu log off...[emoji53] [emoji53]
Baridi imekupiga eeh? Nalala hapa leoEbu log off...[emoji53] [emoji53]
Babe...
Na sikufungulii mlango leo....[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Hiyo jeuri unayo sasaNa sikufungulii mlango leo....[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Hakika sihemi, sisemi kwasababu ushantengeneza....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Umenikumbusha na huu wimbo babeHakika sihemi, sisemi kwasababu ushantengeneza....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Babe... hao ni maques band kwani..!!??[emoji45] [emoji45]Umenikumbusha na huu wimbo babe
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui babeBabe... hao ni maques band kwani..!!??[emoji45] [emoji45]