Unapoamua kujihusisha na mapenzi ya JF na wana JF.

Unapoamua kujihusisha na mapenzi ya JF na wana JF.

Yule sikumshangaa mm tuu hata wa pembeni walimwona ni kituko, inshu sio alivyo, inshu ni alivyojiwekaa, ilikua ni night either anatoka date au anaendaa, mm yule akinijia vile km ni baa bora nikajifiche hata chooni au niruke fance upande wa pili ila hanisogelei haki, ni aibuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera zako.
 
Bora ya ajuza anaye bakia na asili yake, Ile ngoma ukilala ukiamka kwa zile kucha lazima awe amekukata somewhere, vidole vyenyewe vimeachana achana na vina pingili km mafungu ya tangawizi lakin yy kavifugisha makuchaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine ni made in China. Kila kitu badia, kama hapo yupo ka jini na bado ana ma make-up je akiamka asubuhi ataonekanaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji856][emoji855]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom