Hapana tatizo hizi id mkuu mana unaweza ukaja tongoza kumbe hata ni dada ako au mtarajiwa wakoWalikuumiza nini mkuu.
Sawa mama.
Tutafutie kibarua ulipo basi nasi tuwr busy
Hii dili imenasa kichwani sana[emoji3][emoji3][emoji3]Na huo ndiyo ueksipat member wenyewe.
Sasa si ndiyo tunakupa hints?Hapana tatizo hizi id mkuu mana unaweza ukaja tongoza kumbe hata ni dada ako au mtarajiwa wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru wa mwenye chombo unaweza kuelemea kwenye maslahi ya upande mmojaMkae mkijua kuna uhuru wa habari na uhuru wa wenye vyombo.
Kwa hiyo ndio umeamua kutojibu emoji yangu...?
Tofauti ya JF na mapenzi ya kwingine haya ya 4D.Tunatofautiana vibarua yawezekana chako kipo free tu ndugu wengine hata simu zinatushinda piah mambo ya Jf ya mahusiano kwani jf ni dunia ya plutoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikilia hapo hapo ulipo.Uhuru wa mwenye chombo unaweza kuelemea kwenye maslahi ya upande mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo sasa hivi mvua hamnaNdio nimeamua maana nilikuja huko kwenu pwani mkanizungusha siku nzima nateremka kule kwenye gorofa la bima mvua imenyesha matope matupuu khaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kwa nini mshee nywila kwani hamuaminiani?Kuingilia ni kuchukuliana bila ridhaa. Kupeana ni kutoa ridhaa kwa mapenzi, hii haina kesi.
Thread ya kawaida sana but dk26 una post 80+ ningetamani ushirikiano huu uwepo hata kwenye mada serious zihusuzo maisha coz mwisho wa siku hayo mapenzi bila kueleweka mfukoni ni kucheza karata.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Woiiii...😂😂uzuri humu hakuna mpenzi wa pekeako kila mtu beeeeeiibyyy,.ikikuuma unakunywa mofaya tuu..Comments ziwe fupifupi jamani
Nitarudi kusoma zikiwa nyingi
Na kuchagua ni kupanga.Nyimbo ya nyegezi ilivunja rekodi ya views kuliko nyimbo za kutetea elimu.Kupanga ni kuchaguwa
Sent using Jamii Forums mobile app
4D ndo nini ? Sema mnayabebea uzitoo hasa kwa member maarufu watu wanazan umaarufu ndo utakuwa na k tamu au dushe la asali kumbee ushyyuuuziii mtupu nishakutana na member hana hata ladhaa yani dushe lakee halina utraamu halina ladhaaaa so naona saiv ameshaikimbia mpaka I'd yakeeeTofauti ya JF na mapenzi ya kwingine haya ya 4D.