Unapoamua kujihusisha na mapenzi ya JF na wana JF.

Unapoamua kujihusisha na mapenzi ya JF na wana JF.

Eeeh dada mm sijambo kabisaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa humu bhn khaaa wanazani umaarufu ndo umepata mtu wengine siye magurugembe tumeshindikana matapelii si matapeli ukiingia lazima urud jf kulia ptuuuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we mtoto jinga sana
 
Eeeenh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sema kweli jamani umeanza linii kuwa nyakunyaku eti
😂😂😂😂😂mie na unyakunyaku wapi na wapi sh'kiki wanguu...mie mama ntilie ndio fani yangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie na unyakunyaku wapi na wapi sh'kiki wanguu...mie mama ntilie ndio fani yangu
Mama ntilie wangu wa kishua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom