Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
[emoji23][emoji23][emoji23] umesema kweli lakini lengo la kupeana nywila ni nini haswaKuaminiana na kupendana ni vitu 2 tofauti. Usimwamini yeyoye, hasa mpenzi wako. Pendaneni msiaminiane [emoji23].
Wa kumwamini ni Mungu Muumba pekee.
Sent using Jamii Forums mobile app