Unapoandika hisia zako WhatsApp ukafuta, wenye WhatsApp GB wanaona ulichokosea, endelea kukosea ulikuwa sahihi

Tuone mkuu hiyo shanga toleo jipya πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Kupitia mitandao hasa w'app nimeshuhudia watu wengi ninaowashimu tena watu wazima wakituma vitu vya hovyo kabisa ambavyo kwa kuwaangalia huwezi kudhani wamevitunza ktk simu zao.

Mmoja alituma xxxs videos tena kwa kufuatana ya kwanza hadi ya tatu mwengine akaweka ile ya askari wa kipemba akipigwa mti kwenye gari na ni mwanaume mwenye familia na watoto wakubwa,wakati mwengine GB w'app ni nzuri lakini inakupa sononeko unapokuta mtu mnaeheshimiana amekosea kitu.
 
Kama ni kweli weka picha tujiridhishe!?
Wee mama wa mtu!!
Ile pic ilivyonifikia na umbea wangu nikamsimulia baby wangu, akasema ebu tuone!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nikamkatalia akaforce akachukua simu akaliangalia!! We nikakuta mtu kabadilika akaninyanyua nyaku km kifaranga cha kuku 🀣🀣🀣🀣
Akaenda kunifanya asusa, nikasema kweli bi mkubwa kabarikiwa had baby kadisaaa!!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚tupia basi hako ka picha mkuu🀏😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…