Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 2,802
- 7,551
😂😂😂hadi ajishtukie.Yani nikimjua naacha kujibu texts zake, bluetick atakazokutana nazo yeye mwenyewe ataamua asinitafute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂hadi ajishtukie.Yani nikimjua naacha kujibu texts zake, bluetick atakazokutana nazo yeye mwenyewe ataamua asinitafute
Na mi NIKAZIE au niache??🤓🤓Nakazia😅😂
Utamjuaja mtu anayetumia whatsapp GB?? Kwenye official whatsapp !!
Kazia bila picha ni chai tuu hiyoo🤏😎Na mi NIKAZIE au niache??🤓🤓
Okay shukurani. Hivi hamna dalili nyingine zaidi ya hiyo uliyoitaja??Umeweka zako status umefuta unakutana na comment / reply ya mtu kuhusu status yako uliyoifuta au ame reply ulichokifuta ni hivyo tu.
Tuone mkuu hiyo shanga toleo jipya 🤔🤔🤔Mimi nikigundua una WhatsApp Gb nakublock au nafuta namba zako!!
Kuna mmama alipiga pic ya utupu kwa camera ya mbele na sura lake linaonekana pamoja na mpodido, akataka kumtumia mchepuko akashangaa kalituma tumbua status 😂😂😂😂
Watu wakasave, akaja kupigiwa simu na mtoto wake wa kike afute baada ya mume wa mtoto wake kuliona!!!
Sema japo mamá age go ila katuzidi had mabinti afu alivaa shanga toleo jipya hahaaaaa!! 🤸♀️🤸♀️
Okay shukurani. Hivi hamna dalili nyingine zaidi ya hiyo uliyoitaja??
Maana si mtu wa status sana
Hadi ajue kama hapa sasa niko ignored 😃😃😂😂😂hadi ajishtukie.
Wee mama wa mtu!!Kama ni kweli weka picha tujiridhishe!?
Shukurani mkuu....Kwenye chatting room yenu huoni blue tick ya message zako ila ana reply. Mimi ndo hizo nazijua.
Hivo yaan 🤏😎Hadi ajue kama hapa sasa niko ignored 😃😃
Naachaje kwa mfano 🤣🤣🤣We hukusave??
😂😂😂tupia basi hako ka picha mkuu🤏😎Wee mama wa mtu!!
Ile pic ilivyonifikia na umbea wangu nikamsimulia baby wangu, akasema ebu tuone!! 😂😂😂
Nikamkatalia akaforce akachukua simu akaliangalia!! We nikakuta mtu kabadilika akaninyanyua nyaku km kifaranga cha kuku 🤣🤣🤣🤣
Akaenda kunifanya asusa, nikasema kweli bi mkubwa kabarikiwa had baby kadisaaa!!!
👊sanaaShukurani mkuu....
Ni mimbea mbea we iwekee kitu chochote cha uongo afu futa uone itakavyoanza kujifaragua “Hata km umefuta tyr tumeona”Utamjuaja mtu anayetumia whatsapp GB?? Kwenye official whatsapp !!
Huyo mwl wa phyz alikuwa wa mchongo.Mwalimu wa physics aliwahi sema jibu la kwanza kulifikiria au litakalo kujia ndo sahihi
Blue tick zinamfanyaje hadi aache kukutafuta?Yani nikimjua naacha kujibu texts zake, bluetick atakazokutana nazo yeye mwenyewe ataamua asinitafute