Unapoandika hisia zako WhatsApp ukafuta, wenye WhatsApp GB wanaona ulichokosea, endelea kukosea ulikuwa sahihi

Khaaaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wizoooo πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚
 
Khahh sasa wamekuzaa na umeshawachungulia. Ukaona vizuri ukapeleka kwa mdogo,sema tu hujui kitu. We alikubinua fizikali,lakini akilini alikuwa na huyo maza. Sasa na mimi nipe maza huyo,ananizidi tu kiduchu
Hilo nililijua niliona hata upelekaji moto wake ni km analivutia hisia lile tumbua la kwenye simu la yule bi mkubwa 🀣🀣🀣🀣

Lile dude situmi inaweza kuwa ni shangazi yako, huoni km ni udhalilishaji?
 
Hilo nililijua niliona hata upelekaji moto wake ni km analivutia hisia lile tumbua la kwenye simu la yule bi mkubwa 🀣🀣🀣🀣

Lile dude situmi inaweza kuwa ni shangazi yako, huoni km ni udhalilishaji?
Weeeee mama mwenyewe akijichanganya namfukuzia mapepo sembuse shangazi. Ukikataa,nachola lako nalitumkia kufukuza pepo sasa. Mi nakwambia na wengine wasikie
 
Hope picha ya hilo jimama bado hujaifuta. Nisogezee PM ili nililipue hilo jimama kwa sheria binafsi
 
Hilo nililijua niliona hata upelekaji moto wake ni km analivutia hisia lile tumbua la kwenye simu la yule bi mkubwa 🀣🀣🀣🀣

Lile dude situmi inaweza kuwa ni shangazi yako, huoni km ni udhalilishaji?
Amsha hilo lipopo sasa na wewe
 
you have just wrote is right[emoji3582]
You have been just written is right [emoji3581]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…