Unapoandika hisia zako WhatsApp ukafuta, wenye WhatsApp GB wanaona ulichokosea, endelea kukosea ulikuwa sahihi

Unapoandika hisia zako WhatsApp ukafuta, wenye WhatsApp GB wanaona ulichokosea, endelea kukosea ulikuwa sahihi

Wee mama wa mtu!!
Ile pic ilivyonifikia na umbea wangu nikamsimulia baby wangu, akasema ebu tuone!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nikamkatalia akaforce akachukua simu akaliangalia!! We nikakuta mtu kabadilika akaninyanyua nyaku km kifaranga cha kuku 🀣🀣🀣🀣
Akaenda kunifanya asusa, nikasema kweli bi mkubwa kabarikiwa had baby kadisaaa!!!
Khaaaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wizoooo πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚
 
Khahh sasa wamekuzaa na umeshawachungulia. Ukaona vizuri ukapeleka kwa mdogo,sema tu hujui kitu. We alikubinua fizikali,lakini akilini alikuwa na huyo maza. Sasa na mimi nipe maza huyo,ananizidi tu kiduchu
Hilo nililijua niliona hata upelekaji moto wake ni km analivutia hisia lile tumbua la kwenye simu la yule bi mkubwa 🀣🀣🀣🀣

Lile dude situmi inaweza kuwa ni shangazi yako, huoni km ni udhalilishaji?
 
Hilo nililijua niliona hata upelekaji moto wake ni km analivutia hisia lile tumbua la kwenye simu la yule bi mkubwa 🀣🀣🀣🀣

Lile dude situmi inaweza kuwa ni shangazi yako, huoni km ni udhalilishaji?
Weeeee mama mwenyewe akijichanganya namfukuzia mapepo sembuse shangazi. Ukikataa,nachola lako nalitumkia kufukuza pepo sasa. Mi nakwambia na wengine wasikie
 
Mimi nikigundua una WhatsApp Gb nakublock au nafuta namba zako!!
Kuna mmama alipiga pic ya utupu kwa camera ya mbele na sura lake linaonekana pamoja na mpodido, akataka kumtumia mchepuko akashangaa kalituma tumbua status πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Watu wakasave, akaja kupigiwa simu na mtoto wake wa kike afute baada ya mume wa mtoto wake kuliona!!!

Sema japo mamΓ‘ age go ila katuzidi had mabinti afu alivaa shanga toleo jipya hahaaaaa!! πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
Hope picha ya hilo jimama bado hujaifuta. Nisogezee PM ili nililipue hilo jimama kwa sheria binafsi
 
Hilo nililijua niliona hata upelekaji moto wake ni km analivutia hisia lile tumbua la kwenye simu la yule bi mkubwa 🀣🀣🀣🀣

Lile dude situmi inaweza kuwa ni shangazi yako, huoni km ni udhalilishaji?
Amsha hilo lipopo sasa na wewe
 
you have just wrote is right[emoji3582]
You have been just written is right [emoji3581]
 
Back
Top Bottom