Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
- Thread starter
- #61
Maisha ni kutegemeana mkuuKitendo cha kutegemea kiungo cha mwili ambacho sio chako hapo tayari ni tabu.
Maisha ni kutegemeana mkuuKitendo cha kutegemea kiungo cha mwili ambacho sio chako hapo tayari ni tabu.
Yakupasa kuishi kulingana na mafundisho ya maisha ya ndoa mkuu.Unapoanza? Hafu ukisha oa au kuolewa, unaendelea moto ule ule wa usingle? Ndoa ni maigizo, drama, fake life, kifungo cha jela.
Hajiii chukua leso 😂😁Sikutukani ila we fala kweli rafki yangu sasa nilie kwanini
Haina noma kaka, leo nime msindikiza shabiki wa Liverpool kwasababu he can't walk alone😂🤔Upo huru kuwaza hivo!
Ilo jina acha sina akili za yule fwalwaHajiii chukua leso 😂😁
bro una jikataa😁Ilo jina acha sina akili za yule fwalwa
we n mkuda ishi kwenye madabro una jikataa😁
acha uduwanzi kenge majiwe n mkuda ishi kwenye mada
Ya mapenzi.Jamuhuri ipi dipre
Ushalewa wewe sio bureYa mapenzi.
Apple punch inalewesha balaa.Ushalewa wewe sio bure
Bro acha io kituKataa ndoa
uhuni sio dili mkuu ni vyema kuwa na utulivu ila katika kipindi cha mchakato ni vyema sana kulizingatia hilo zaidi. Watu wengi wanashindwa kuyafikia malengo ya upendo kisa kukosa utulivu.🥺🥺 Kabla ya michakato tuendelee tu na mambo zetu mbalimbali?
Inasikitisha sana, kwa hili mfano halisi ulishanikuta. Sijui watu huwa wanachukuliaje jambo hili muhimu sana kwenye maisha.Kuna ile wanaita goodbye sex yaani on wedding eve mke au mume mtarajiwa anatoa utamu kwa ex wake kwa mara ya mwisho.
Vijana wana mambo sana!!
Lapaswa liwe jambo la muda wote maishani. Ila vijana tunaona uhuni ndio ujanja.Uaminifu usiwe suala la wakati fulani au jambo fulani kuwa mwaminifu kwenye pesa, ahadi, kazini, ndoa/mahusiano au biashara
Siku hizi brutal ndio mnaita apple punch?Apple punch inalewesha balaa.
Nayauza, moja buku🤣🤣Mkuu unazingua
dipresheni niokotee mawe
Brutal ndio nini?Siku hizi brutal ndio mnaita apple punch?
Mtu mzima hatishiwi nyau, kenge mavumbi wee.Mkuu unazingua
dipresheni niokotee mawe