Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Mshana unafahamu habari ya Keys of Solomon?
 
Mshana unafahamu habari ya Keys of Solomon?
Hapana nipe dondoo
Keys of Solomoni ni andiko ambalo linatumika kufundisha ulozi na utendaji wa Miujiza.
Huwa ninalitumia kufanya mambo mengi sana kama kuita roho za wafu,kutoa pepo,kuvutia bahati na kupendwa kutafuta vilivyopotea. Sio kwa ajili ya kila mtu.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Hapo ulposema,"unalitumia kutafuta vilvyopotea". VIPI MKUU ULIMTAFUTA MO DEWJI?????
Pia hapo penye umesema eti unalitumia "kuvuta bahati" JE VIPI UMESHAVUTA BAHATI ZA TATUMZUKA, BOOMPESA, BIKO, SPORTPESA n.k.??
Kama ni kweli uko vzuri kutafuta vilvyopotea, "Kwa nn usiende kutafuta watu waliopotea au hata kutekwa???"
HUONI KAMA UNGEPATA PESA SANA?? [emoji41]

Kuna mambo mengne yabaki kuwa ni stori za vitabu vya kusisimua tu. ila kwny maisha halisi achana nayo sabb hakuna hizo ktk maisha halisi.
Mtoto mdogo (chini ya 17) akiwa anaamini sungura na fisi walkuwa marafiki na wanaongea km binadamu, ni sawa kwa umri wake sabb ndo hadithi zenyew za kusisimua hizo.
ila mtu mkubwa kuendelea kuamini stori ya Fisi hivo hivo, basi hapo napata walakini kidogo.

#TypicalAfricanMind

 
Keys of Solomoni ni andiko ambalo linatumika kufundisha ulozi na utendaji wa Miujiza.Huwa ninalitumia kufanya mambo mengi sana kama kuita roho za wafu,kutoa pepo,kuvutia bahati na kupendwa kutafuta vilivyopotea.Sio kwa ajili ya kila mtu.
Asante sana nitalitafuta
 
Kila kitu kina kanuni na taratibu na miongozo yake
 
Reactions: uth
Keys of Solomoni ni andiko ambalo linatumika kufundisha ulozi na utendaji wa Miujiza.Huwa ninalitumia kufanya mambo mengi sana kama kuita roho za wafu,kutoa pepo,kuvutia bahati na kupendwa kutafuta vilivyopotea.Sio kwa ajili ya kila mtu.


"Keys of Solomon"
Hilo andiko limeandikwa na nani? Na kwanini lisiwe kwa kila mtu??
 
Reactions: uth
Kila kitu kina kanuni na taratibu na miongozo yake
Magic Powers and practice hufanyi tu kwa kila unachoona unaweza kufanya.Matumizi ya spirits huwa yana changamoto zake na moja ya changamoto zake ni kwamba ukizoea kufanya invocation kwa kila jambo kuna hatari sana ya wewe kutokuishi maisha ya kawaida.Ndio maana nimeisitiza the book and the practice is not for every one.Hivi wewe uite Roho zilizopumzika huko kwa ajili ya kutaka kushinda TATU MZUKA au KUMTAFUTA MO DEWJI?Hayo ni mambo madogo sana katika ulimwengu wetu.We deal with controlling fates and the stability of nature.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]they just don't understand how it works
 
Reactions: uth
Ndugu yangu
You can swallow all your words if you think that way.
 
Ndugu yangu
You can swallow all your words if you think that way.

[emoji2][emoji2] Typical African mind.
Mkuu sema watabiri ingependeza wachangamkie Fursa za TATUMZUKA, BET365, BIKO etc.. [emoji2]
Mtu mweusi kila kitu ambacho hakifahamu basi anasema "uchawi" [emoji2]
Waafrika sie tungekuwa ndo "race" pekee duniani, trust me hata "umeme" tusingegundua.
"internet" yenyewe hii tungeita ni uchawi vile vile.
Ona hata kwenye soka tunavyohangaika kwa imani potofu na kufungwa tunafungwa sanaaaa tu kama kawaida. (soka lataka kipaji, afya, mazoezi, uongozi thabiti & team-work). Unfortunately mtu mweusi kapotea kwenye imani.
Hata nguo nyekundu zamani tulidanganywa ukivaa unapigwa radi. [emoji2]
Hata baiskel nayo tungeita ni uchawi vile vile (I guess our argument could have been that "inawezekana vipi itembee kw tairi mbili tu mfuatano??) [emoji2] Uchawi huo..
it's too bad watu wanaamini ni kweli kuna kupaa kwa ungo. Daahh [emoji2] Then yet still mtu unatafuta nauli au pesa ya mafuta ya vehicle yako....., Kwa nini usitafute huo ungo sasa???
Worst, kuna watu bado wanaamini kuna mtu anauwezo wa kuita Mvua. [emoji2]
Basi tumlete huyo mtu aingie mkataba na sie wakulima ili atuletee Mvua Za Masika wakt wa Kiangazi...
(JF: Home of Great Thinkers)
Na kuna watu wanajiita waganga na wana mabango yao mitaani kuwa wana dawa za kienyeji za kufanya mwanafunzi kufaulu shuleni.. [emoji2]

Mwafrika hata Mambo ya Spiderman anaweza akakuambia ni ya kweli...
[emoji2]

Usiamini kila unachokiona, There is no Magic, Only Tricks (ujanja) ndo zipo... That's why mtu atafanya ujanja akuoneshe Pesa afu bado atakuambia umpe Pesa.
(I'm taking about tricks za magic ktk kutengeneza Pesa.. Kwa nini yeye asijtengenezee hizo Pesa na azitumie yeye, instead atakuambia lipa kiingilio (Pesa) ili akuoneshe jins anavyotengenza Pesa..)

Ndo maana show za Mazingaombwe zinakuwaga Shule za Msingi huko, maana mtu mzima (adult) kuna vitu utaona ni ujanja tu na burudani, ila hakuna lolote)

Kuna vitu inabidi tuviache vibaki ni Kiburudani na Stori za Kusadikika na Kufikirika tu, (Mambo ya Bundi, Fisi etc.) Na ndo ilikuwa misingi ya Hadithi tangu enzi na enzi.. Stori flan za kusisimua, fikirishi na kufikirika zaidi na zenye kutoa burudani au mafundisho.
Too bad, most people bado tunadhani ni kweli.

MWAFRIKA... DARK SKIN, DARK CONTINENT, DARKNESS IN ALMOST EVERYTHING.......
Mkuu bila shaka wewe ungekuwepo enzi za MajiMaji War nawe ungeamini unaweza kuizuia risasi kwa kunywa maji. [emoji2]
Ukiendeleza kuamini hayo, trust me muda sio mrefu utamkata mkono Albino kwa madai ya kuusaka utajiri.
(baadala ya kujiuliza, "mbona albino yeye hawi tajiri???")
Hata kwenye magonjwa, waafrika akili zetu bana daaahh Mtu akiugua ugonjwa ambao sio common sana ktk jamii basi ataporoshwaa eeh na kuambiwa mambo ya imani potofu.
Wakat kiuhalisia kuna magonjwa mengiii maelfu kwa maelfu mengne hata bado hayajapatiwa ufumbuzi.
Na ya Ufumbuzi ni Utafiti tu na sio " Superstition " na porojo, Hata Cholera (kipundupindu) mwanzo ilkuwa haina tiba, lakin baada ya miaka watu wakapata ufumbuzi. (utafiti).

#ByTheWayNenoLanguSioSheria

ila usipokuwa mtu wa kusimama na kuuliza basi utasimbwa sana kwa stori za sungura na fisi na Utajkuta tu unaamini sabb inategemea mazngira uliyokulia na ulichochagua.

Mtandao wa JF pale kuna sehm pameandkwa HOME OF GREAT THINKERS hivo ni vyema kwenye imani tuwe tubafikiria three dimensionally.

Any way, tutafika tu sabb imani hizi potofu huwa znaisha polepole ila inachukua miaka mingi sana.
Maana hata uwe na PhD km ni wa kuamini hayo utaamini hvo hvo tu.

Nchi hii tunao watu wamepotea au kutekwa, hivo wale Wataalamu wanaojidai wanarudisha watu waliopotea baaaaasi ni vyema hao Wataalam watusaidie kurudisha Watanzania wenzetu waliopotea au kutekwa. [emoji41]
 
Shida yako huelewi kwamba hii ni sayansi sio maigizo
 
Shida yako huelewi kwamba hii ni sayansi sio maigizo

OK, ila huwa najaribu tu kufikiria kwa sauti. Sometimes I do stand and think about some of the beliefs in a three dimensional aspect. Na sio vibaya kujiuliza kuhusu vitu, "Kwa nini kipo hivi na sio vile,?"....
Huwa i do question karibu kila kitu sio mambo ya imani tu pekee.

By the way ndo dunia ilvyo hatuwezi kuw wote tunaamini ktk kitu, malengo, mtazamo au imani moja. Utofauti ndo unaleta progress ktk maisha.....
Wengne wataamini Bundi ni ndege tu km wengne ispokuwa yeye ni "nocturnal bird" tu (huruka na kufanya mawindo yake wakt wa ucku).
Na wengne wataamini Bundi ni wa maajabu na superstition.
Utofauti kimtazamo kwny maisha ndo unaleta progress ktk ugunduzi wa mambo...
Hata pale tunaposemaga Wazungu wana akili, ila ukwel ni kwmba sio wote, sabb sio keel kwmb wazungu wote walgundua ndege, sio wote walgundua Umeme, Carbon, Hydrogen, Polonium, Atomic Energy, Transistor, Internet, Software, Genetics Engineering, Finance, Tetracycline, Dopamine etc..
 
Unaanza kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…