Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
ijapokuwa si mfuatiliaji sana wa siasa lakini ukweli ni kuwa siasa ni sehemu ya maisha ya kila mtu.
kwa mtazamo binafsi hiki ndicho nakiona. Ni kama kuendelea kujazwa kwa maji kwenye ndoo iliyotoboka ili hali hawajashughulika na kuziba kwanza.
Mbali na Mama kuzurura huku na huku duniani akiahidi anatafuta pesa lakini bado nasi tunaendelea kukamuliwa.
Kwani Hayati aliwezaje? Bila shaka wote tutakuja kuongea lugha moja. Tutarajie tozo zaidi na zaidi.
Karibuni mnikosoe na kunifundisha.