Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Huyu hayati (kwanza ni mwendazake).Kwani Hayati aliwezaje?
OkeyHuyu hayati (kwanza ni mwendazake).
1 Alipora fedha za wafanyabiashara
2. Alinyang'anya fedha za watu...
Iliivuje iliwaendelee kulambaWalamba asali wanatoboa ndoo
Wananchi wa kawaida hatu kugusa tulikuwa free bila tozo, yeye aligusa wachache, sasa huyu ana tesa mpaka mama zete kijijini huko na kizazi mpaka kizazi vitateseka kwa kulipa matozo na MikopoHuyu hayati (kwanza ni mwendazake).
1 Alipora fedha za wafanyabiashara
2. Alinyang'anya fedha za watu...