Unapogundua mtoto si wako baada ya miaka 15 unafanyaje??

Unapogundua mtoto si wako baada ya miaka 15 unafanyaje??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Helo br's n sis's naomba mnisaidie huyu mtu mtamsaidiaje anapogundua mtoto alielea baada ya ,miaka 15 si wake??
Msaada tafadhali
vigezo na masharti kuzingatiwa kwenye majibu
weekend njema
 
Aaache tu na aminye kwani kitanda hakizai haramu,huko kijijini wanazaa tu baba na mama wa jirani wakikutana mashambani,unawez a hata ww kwenda kupima dna na baba ako ukakuta si wako, tatizo wanawake wanabeba mimba wanaume hawabaki na uthibitisho wa mimba.simfagilii huyo mama bali namsikitikia huyo victim yaan mtoto.
 
Back
Top Bottom