Unapokaza kuomba kisha anapewa mwingine ambaye hata hakuomba.

Inauma sana mkuu, mimi imenitokea wiki hii mpaka sasa maumivu yanaendelea na hapa naona kama umenijua ndo maana umeandika.
Sijakujua bhna imenikumbusha mtoto mmoja tu wa kichaga.
 
Si ajabu alijisemesha wakati anavivaa "ngoja leo nivae hivi viatu vya huyu fala"...
 
Hahahah.

Mkuu una uzoefu wa hali ya juu. Endelea kutupa uzoefu.
 
Bahati mbaya huwa haina maisha marefu inaishia kwenye [emoji481]
Akishamaliza hiyo kifuatacho anakijua ITV tu. Uwe unamwahi kabla hajaanza kuwaona barmaid wote wazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…