Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati mbaya huwa haina maisha marefu inaishia kwenye 🍺Uwe unakagua mifuko yake siku hizi anatoroka na sadaka.
Si ajabu alijisemesha wakati anavivaa "ngoja leo nivae hivi viatu vya huyu fala"...[emoji24][emoji4] Umenikumbusha kuna demu nilikua najipendkz kwake hadi nikamnunilia viatu ambavyo siku anaenda kutiwa na lifala fulan hvi ndo alivivaa hivo viatu
Niliumia sana tena masela walivyo kua wananitania.Niliamua kuviiba hvo viatu kwake maana aliniudhi balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha...kwa hiyo mkuu mwisho wa siku huwa unafanyaje?
Sio kila aombaye hupewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah.Ile naomba vocha
Mwanaume unajitutumua unatuma unasubiri hata SMS tu ya ahsante. Dadeeeq hadi unaamua wewe ndo umcheki ile kumcheki unakuta
iko biz unatulia kidogo ile kumcheki tena unaskia
SAMAHANI MTEJA UNAYEMPIGIA ANAONGEA NA SIMU NYINGINE TAFADHALI SUBIRI
Si ajabu alijisemesha wakati anavivaa "ngoja leo nivae hivi viatu vya huyu fala"...
Hili jambo linauma sana mpaka sasa naendelea kujituliza na JB.Sijakujua bhna imenikumbusha mtoto mmoja tu wa kichaga.
Ndio nini chululuChululu.
Kuomba niniNa wanawake mnafahamu fika hili huwa linatuuma zaidi ya kuuma. Daby unajitutumua kuomba kila siku na vizawadi vyako kila kukicha ila mwisho wa siku anapewa Asprin kiurahisi bila hata kutumia nguvu.
NB: mwanaume kama hili halijawahi kukuuma jichunguze.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mbaya zaidi huna cha kufanya.Tena muda mwingine unapigiwa stori za huyo fala mwingine.