BUNDI ALBINO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 415
- 612
.Hahahah.
Mkuu una uzoefu wa hali ya juu. Endelea kutupa uzoefu.
Hahaa hata kama sio Mimi ila naamini yanawatokea Wengine pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Hahahah.
Mkuu una uzoefu wa hali ya juu. Endelea kutupa uzoefu.
Hahaha hahahaMimi huwa natoa vizawadi sana baada ya kunitunuku!
Hivyo huwa nawashauri wanipe mapema tu maana wanajichelewesha wenyewe mazawadi!
Ushakuwa mkubwa ujue haya unayajua. Ama huyajui nikuombe nikufundishe.
HahahaHahaha hahaha
Wewe sio mzima
Bas njoo uombe kwangu mwayaMwenyewe ilishanitokea ndiyo maana nikalikumbuka.
Wengi wanakufa na taia shingoni. Ila mwisho wa siku nilijipa moyo huwezi kukubaliwa na kila mtu.
Mbona mimi nimekutunuku lakini hata pipi haujanipa?[emoji134][emoji134][emoji134]Mimi huwa natoa vizawadi sana baada ya kunitunuku!
Hivyo huwa nawashauri wanipe mapema tu maana wanajichelewesha wenyewe mazawadi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji4] Umenikumbusha kuna demu nilikua najipendkz kwake hadi nikamnunilia viatu ambavyo siku anaenda kutiwa na lifala fulan hvi ndo alivivaa hivo viatu
Niliumia sana tena masela walivyo kua wananitania.Niliamua kuviiba hvo viatu kwake maana aliniudhi balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaMbona mimi nimekutunuku lakini hata pipi haujanipa?[emoji134][emoji134][emoji134]