Unapokaza kuomba kisha anapewa mwingine ambaye hata hakuomba.

Unapokaza kuomba kisha anapewa mwingine ambaye hata hakuomba.

Hahaha

We si ulikua unakataa zawadi zangu,unasema unanipenda mimi tu,zawadi zangu hutaki!
Mimi huyu huyu kabisaaaaaa[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Hata nikilogwa hilo haliwezi kutokea.
 
Kuna Chalii alikua anataka aonane na manzi ake,Uyo manzi anamwambia mchizi yuko bize so hawez meet na mchizi,,at the same time uyouyo dem anambembeleza chalii mwengine atoke nje ata amuone tu,,Dah nguvu ziliniisha aisee..!!
 
[emoji24][emoji4] Umenikumbusha kuna demu nilikua najipendkz kwake hadi nikamnunilia viatu ambavyo siku anaenda kutiwa na lifala fulan hvi ndo alivivaa hivo viatu
Niliumia sana tena masela walivyo kua wananitania.Niliamua kuviiba hvo viatu kwake maana aliniudhi balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukaviiba
 
Haha hahaaa... Nimecheka sana japo si kwa kukudharau kwa yaliyokutokea bali kwa jnc ulivyoibukia wizi ambao hata haukudhamiria kuufanya lkn yote ni sababu ya maumivu ya rohoni.

Back
Top Bottom