Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Jirani 😹😂😂😂
Jirani 😹😂😂😂
Sasa likichomoka inakuaje?Jirani 😹
AiseeeeeJitahidi uweze andika mwandiko wa kike. Huu unakuchoresha..nimekufuata huku PM ili watu wengine wasijue kuwa wewe ni mwanaume unayependa ku act kama mwanamke.
Hata million atapewa ila alete chat za pm nilizomuomba pesa kwanza..!! 😹😹Mpe laki sita
Noma sanaSana aisee.... Kuna mitakataka mingi sana mi nmeigundua. Mishetani kabisa.
Unalidaka unaliset chap kabla lingine nalo halijachomoka 😹😹Sasa likichomoka inakuaje?
Poleni kumbe mnatesekaga hivyoUnalidaka unaliset chap kabla lingine nalo halijachomoka 😹😹
Hii midogo ya siku hizi inaona ndo fashion kuwa michoko. Haitaki kazi inataka tu urahisi huoNoma sana
😹😹😹😹Hiyo kona km bra mikanda mibovu lazima nyonyo lichomoke 😹
Mbona hili swala kama zito sana yani watu zaidi ya kumi wanakung'ang'ania ww ni wakiume ila unapenda ukike hii inashangaza Tunashindwa kuelewa embu tupe ukweli wa mamboUmekuja na id nyingine? 😹😹
Ila hapo ndo mnapoharibu yani mtu mmoja nakuchnganya mpk unatengeneza kijiji cha id zako uje kujitetea?!! Kweli we kichaa..!!
Acha tu hasa bra iwe mama nibebe hatari tupu..!! 😹😹Poleni kumbe mnatesekaga hivyo
Mama nibebe ndio gan tena hiyo😂Acha tu hasa bra iwe mama nibebe hatari tupu..!! 😹😹
Watu wengi wamemshtukia ana mambo ya kigasho. Ukimsoma tu pia utagundua. Watu wameamua kumchana. Pia ana utapeli flani hivi ndo maana anaona akiwa mwanamke ataaminiwa.Mbona hili swala kama zito sana yani watu zaidi ya kumi wanakung'ang'ania ww ni wakiume ila unapenda ukike hii inashangaza Tunashindwa kuelewa embu tupe ukweli wa mambo
Endelea kuwachana tuko nyuma Yako kamandaHii midogo ya siku hizi inaona ndo fashion kuwa michoko. Haitaki kazi inataka tu urahisi huo
We mbona huwachaniEndelea kuwachana tuko nyuma Yako kamanda
Hii mitaka taka siiachi nikiiona lazima niimwage. Na wenzie kadhaa kama watatu hivi. Sijui ndo lenyewe linabadili badili IDs likishtukiwa.Endelea kuwachana tuko nyuma Yako kamanda
Bora nisitembelewe!Ukweli hum ndani kumejaa machoko kibao, kama hutembelewi pm huwezi elewa haya
CONFIRMED! Mwandiko wa kiume kabisa huu. 🤔Wewe kima huwezi kunikuta hata siku moja huko pm nachat hovyo na machizi sawa?? Tafuta uongo mwingine na uzushi wako usiokuwa na kichwa wala miguu..!!
Mimi Sina njaa za kuomba pesa member yoyote humu, kwanza hiyo pm yangu nimefunga halafu ningekuwa nataka wanaume humu basi nisingekuwa nawakanda maana natengeneza mazingira ya watu kukaa mbali na mimi..!! Mimi sio aina ya wadada wanaowachekea ili muwaone wema, ndo ujue sishobokei mtu..!! Pôle sana siku nyingine ujipange…!! 😹😹😹
Utaikuta mikanda nayo imechomoka imepanda juu unaikuta shingoni…!! 😹😹😹😹😹😹
Sio kama za kupachika, invisible push up.
Muda wowote gundi ikipungua kinaachia.