Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Ukipata kiwanja posta nishtue mkuuNinachojua Lamomy ni demu mwenye sauti nzito yaani base.
Kipindi flan kwenye Uzi wa usiku wa manane alikuwa anatuma voicenote akiwa anaimba Kwa kuona aibu kutokana na Sauti nzito.
Huyu mwana mshamba_hachekwi na Lamomy walikuwa wanaitana shemeji.
Sasa kama Sauti ilikuwa sio Yake basi noma kabisa mana tukiwa tuna reply comments zake anajibu fasta Kwa voice note.