Jirani ๐น๐๐๐
Sasa likichomoka inakuaje?Jirani ๐น
AiseeeeeJitahidi uweze andika mwandiko wa kike. Huu unakuchoresha..nimekufuata huku PM ili watu wengine wasijue kuwa wewe ni mwanaume unayependa ku act kama mwanamke.
Hata million atapewa ila alete chat za pm nilizomuomba pesa kwanza..!! ๐น๐นMpe laki sita
Noma sanaSana aisee.... Kuna mitakataka mingi sana mi nmeigundua. Mishetani kabisa.
Unalidaka unaliset chap kabla lingine nalo halijachomoka ๐น๐นSasa likichomoka inakuaje?
Poleni kumbe mnatesekaga hivyoUnalidaka unaliset chap kabla lingine nalo halijachomoka ๐น๐น
Hii midogo ya siku hizi inaona ndo fashion kuwa michoko. Haitaki kazi inataka tu urahisi huoNoma sana
๐น๐น๐น๐นHiyo kona km bra mikanda mibovu lazima nyonyo lichomoke ๐น
Mbona hili swala kama zito sana yani watu zaidi ya kumi wanakung'ang'ania ww ni wakiume ila unapenda ukike hii inashangaza Tunashindwa kuelewa embu tupe ukweli wa mamboUmekuja na id nyingine? ๐น๐น
Ila hapo ndo mnapoharibu yani mtu mmoja nakuchnganya mpk unatengeneza kijiji cha id zako uje kujitetea?!! Kweli we kichaa..!!
Acha tu hasa bra iwe mama nibebe hatari tupu..!! ๐น๐นPoleni kumbe mnatesekaga hivyo
Mama nibebe ndio gan tena hiyo๐Acha tu hasa bra iwe mama nibebe hatari tupu..!! ๐น๐น
Watu wengi wamemshtukia ana mambo ya kigasho. Ukimsoma tu pia utagundua. Watu wameamua kumchana. Pia ana utapeli flani hivi ndo maana anaona akiwa mwanamke ataaminiwa.Mbona hili swala kama zito sana yani watu zaidi ya kumi wanakung'ang'ania ww ni wakiume ila unapenda ukike hii inashangaza Tunashindwa kuelewa embu tupe ukweli wa mambo
Endelea kuwachana tuko nyuma Yako kamandaHii midogo ya siku hizi inaona ndo fashion kuwa michoko. Haitaki kazi inataka tu urahisi huo
We mbona huwachaniEndelea kuwachana tuko nyuma Yako kamanda
Hii mitaka taka siiachi nikiiona lazima niimwage. Na wenzie kadhaa kama watatu hivi. Sijui ndo lenyewe linabadili badili IDs likishtukiwa.Endelea kuwachana tuko nyuma Yako kamanda
Bora nisitembelewe!Ukweli hum ndani kumejaa machoko kibao, kama hutembelewi pm huwezi elewa haya
CONFIRMED! Mwandiko wa kiume kabisa huu. ๐คWewe kima huwezi kunikuta hata siku moja huko pm nachat hovyo na machizi sawa?? Tafuta uongo mwingine na uzushi wako usiokuwa na kichwa wala miguu..!!
Mimi Sina njaa za kuomba pesa member yoyote humu, kwanza hiyo pm yangu nimefunga halafu ningekuwa nataka wanaume humu basi nisingekuwa nawakanda maana natengeneza mazingira ya watu kukaa mbali na mimi..!! Mimi sio aina ya wadada wanaowachekea ili muwaone wema, ndo ujue sishobokei mtu..!! Pรดle sana siku nyingine ujipangeโฆ!! ๐น๐น๐น
Utaikuta mikanda nayo imechomoka imepanda juu unaikuta shingoniโฆ!! ๐น๐น๐น๐น๐น๐น
Sio kama za kupachika, invisible push up.
Muda wowote gundi ikipungua kinaachia.