Unapokuwa IYOVI basi remember to stay on you lane

Ukipata kiwanja posta nishtue mkuu
 
Mbona hili swala kama zito sana yani watu zaidi ya kumi wanakung'ang'ania ww ni wakiume ila unapenda ukike hii inashangaza Tunashindwa kuelewa embu tupe ukweli wa mambo
Mwambie akupe ushahidi, halafu mi nashangaa kwanini mnalazimisha kujua watu ambao hamuwajui?? Hii inawasaidia nini kwenye maisha yenu?
 
Watu wengi wamemshtukia ana mambo ya kigasho. Ukimsoma tu pia utagundua. Watu wameamua kumchana. Pia ana utapeli flani hivi ndo maana anaona akiwa mwanamke ataaminiwa.
Weka ushahidi usituchoshe we *****.. ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Usipoteze energy kuwajibu vichaa, stress za maisha zinawachanganya na hivi Trump kazuia ARV hapo wamevurugwa wadudu wamepanda vichwani ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Vipi pm ziko wapi? ๐Ÿ˜น

Sikiliza nikwambie wewe tumbili wa mjini, hizo ids zako unazozifukua kuja kujichekesha unajichora na kuonekana chiziโ€ฆ!!

Mimi ndo Lamomy nna sumu kali nikikungโ€™ata lazima uweweseke, cha kukushauri tulia najua inakuuma ila utazoea.. hata kuna wenzio walikuwa km wewe ss hivi wamepoa..!

Muda utafika na wewe utarekava usijali, haya pumzika kunywa maji kwa wingi upunguze presha..!! ๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ