Unapokuwa IYOVI basi remember to stay on you lane

Alikuwa anagawa dislikes kama njugu nilipomuuliza sababu akasema eti umemwambukiza ukimwi.
Penseli mjinga sana 😹😹
Ni mchokozi akishashiba wali wake maharage na ndizi mbivu bas anatafuta pa kupunguza shibe..!!
 
Hyo njia mwaka jana nikiwa naenda iringa nlipofika hapo nilikuta gari ipo kifo cha mende pia wakati narudi nikakuta gari tena ipo kifo cha mende bad enough wheels zilikuwa bado zinazunguka means ajal ya muda mfupi alafu mshenzi yule new force alikuwa analala nayo ni MUNGU tu
 
Iyovi hapo macho mita mia ukijidai unajua kula kisahani tunapiga HILI LIMENIUMIZAA SANAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…