Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
...Uzi Tayari!...[emoji846]View attachment 2373281
Hii ni ofisi ya wanaochimba mgodi wa utajiri kwenye Forex. Yale mambo ya ma Bitcoin, na kadhalika, ku trade na kila aina ya utajiri rahisi ndio hapa training centre yao, namna ya kuupata utajiri kirahisi hufundishwa hapa.
Wamejaa telegram kama wote [emoji23]View attachment 2373281
Hii ni ofisi ya wanaochimba mgodi wa utajiri kwenye Forex. Yale mambo ya ma Bitcoin, na kadhalika, ku trade na kila aina ya utajiri rahisi ndio hapa training centre yao, namna ya kuupata utajiri kirahisi hufundishwa hapa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2373281
Hii ni ofisi ya wanaochimba mgodi wa utajiri kwenye Forex. Yale mambo ya ma Bitcoin, na kadhalika, ku trade na kila aina ya utajiri rahisi ndio hapa training centre yao, namna ya kuupata utajiri kirahisi hufundishwa hapa.
Hah hahah hahah. Kuna principles za kupata hela, nazo sio rahisi hata kidogoWamejaa telegram kama wote [emoji23]
Jamaa alikuwa ni master wa story tellingTukuletee na ofisi ya pale jangid plaza? Ya Ontario? Au tukuletee ofisi zilizopo masaki?
Kila kitu ni kuchagua... chagua unacho ona kina kufaa... na ufanye
Kama kijiwe cha mganga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mgodi umesha tema...Uzi Tayari!...[emoji846]
ONTARIO ndio yule kijana tuliambiwa ana akili kuliko vijana wote Bongo?ONTARIO kafulia nini kaja kivingine? Chini hapo zamani View attachment 2373465
HaaahaaaForex nimefanya sana huko hutoki ng'o bila ya kujifanya umefanikiwa huwezi kupata wanafunzi hata robo.