Unapokuwa unawaambia watu kuwa “Forex inalipa”, basi kuwepo na uhalisia japo kidogo

Unapokuwa unawaambia watu kuwa “Forex inalipa”, basi kuwepo na uhalisia japo kidogo

Mimi naamini hivyo, eti hadi brother Kigwa naye alipigishwa foleni pale jangid afundishwe jinsi ya ku download dolari, huyu kijana hatari sana aisee.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hata Mbuzi za humu zinajifanyaga much know zote zilisombwa pale Jangid,muhuni akatelezesha nyoka pangoni then akapita zake na Mia.
 
Ijue biashara ya Forex: Hakuna benki inataka ujue

Nikikumbuka kichwa hiki huwa nacheka tu.
We Acha tu, nika tafuta hadi forex Bible nakesha nayo, lakin holla, nikaiweka 10 inaenda, nikaiweka 100 inaenda, wa kaniambia tatizo ni vimtaji vyangu vidogo mno, nikaiweka 500usd nayo ikapita hivyo!! Nikakoma ulafi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Alipata pesa kwa fx aliepata pesa kwa mshahara aliepata pesa kwa kuwin jackpot aliepata pesa kwa kuchimba madini wote wamepata pesa, tukutane kwenye matumizi jameni
Fx uicheza ina kuchezesha haswa pesa zipo kwenye soko tupambane,
Awo mamentor hawawezi fundisha bure yani mtu arisk miaka na pesa kuja kukufundishà bure!??
 
Screenshot_2022-10-02-19-52-53-81_47156649b070b5878ed30c05d64ec18b.jpg
 
Billionaire traders are the wealthiest traders in the world, earning more than 1.000.000.000 dollars from trade assets.
Top 5 Famous Billionaire Traders in the World
George Soros
Carl Icahn
Ray Dalio
Ray Dalio forex trading
David Tepper
James Simons


The Richest and most famous active traders in the World list in 2022 are:
George Soros (8.6 billion dollars)
Paul Tudor Jones II (7.3 billion dollars)
John Paulson (4.0 billion dollars)
Andreas Halvorsen (6.3 billion dollars)
Bill Ackman (3.3 billion dollars)
Before you see the wealthies
The top 15 most prosperous stock traders in the US in 2022. are:
Warren Buffett $107.2b
Jim Simons $24.4b
Ray Dalio $20b
Carl Icahn $15.6b
David Tepper $15.8b
Ken Griffin $20.8b
Steve Cohen 15.9b
George Soros 8.6b
Israel Englander 10.5b
David Shaw 7.5b
David Siegel 6.5b
Chase Coleman III 10.3b
Paul Tudor Jones II 7.3b
Bruce Kovner 6.2b
Stanley Druckenmiller 6.8b
 
Back
Top Bottom