Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Wakati ninaanza maisha nilipanga nyumba za kanisa la Kilutheri, nyumba zenyewe ziko kwenye prime location. Alikabidhiwa bwana mmoja na mkewe kuziangalia. Nyumba zilikuwa mbili kubwa zenye servant quarter. Jamaa alipangisha zote kama nyumba nne kipekee wakati ilitakiwa kila anaechukua nyumba kubwa unapata na servant quarter kama bonus.
Nilipapenda kwani nilikua nikivuka barabara tu niko kazini lakini nilichukua servant quater ilikuwa vyumba viwili jiko, choo bafu na sebule.
Mke wa landlord alipika maandazi, sikuyapenda sana kwakua hakujua kuusanifu unga. Kuna siku aliniomba pesa, walipata dharura huko kwo. Nilikwenda bank nikaomba akiba. Baada ya hapo nikikumbusha pesa yangu mama anamtuma mtoto na bakuli la maandazi.
Nilipousomawmchezo niliamuawkupotezea. Mpaka kesho ananialika