mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Kwa hoja hakuna labda kwa hujuma nyinginezo !Yaani anakosekana uvccm wa kumjibu Lisu?!🐼
Kudhalilisha so on and so forth !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hoja hakuna labda kwa hujuma nyinginezo !Yaani anakosekana uvccm wa kumjibu Lisu?!🐼
Nadhani hawapewi tu Nafasi ya kuwa huruKwa hoja hakuna labda kwa hujuma nyinginezo !
Kudhalilisha so on and so forth !!
Umeacha kusanuka Bandari kuuziwa waarabu,Kia,Misitu........Muacheni Peneza atusanue yanayotekea Chadema...
CCM ni wabaya na walafi, hata Chadema nao wanaweza wakawa hivyo hivyo...
Kama baba kakimbia nyumba mtoto ndiyo ataiweza?Yaani anakosekana uvccm wa kumjibu Lisu?!🐼
Vipi waraka haukusaidia?Umeacha kusanuka Bandari kuuziwa waarabu,Kia,Misitu........
NCHI INA WAJINGA WENGI SANA WAANDISHI WA HABARI MAKANJANJANawakumbusha tu akina Clouds, Wasafi, Channel ten nk
Chadema ni blood yaani Uhai kwa walioiamini hata kama Sasa wako CCM kwa sababu za Njaa iliyotukuka kwenye matumbo yao na Ada za Watoto
Imarisheni UVCCM huo Ndio Muarobaini
Mtanishukuru baadae [emoji209]
Punguza Ujinga boss chadema haina mpango na Malaya wa kisiasaWewe fikiria akina Halima Mdee wamefukuzwa chamani LAKINI kwa Mapenzi yao binafsi kwa Chama bado wako Bungeni wakikiwakilisha [emoji23][emoji23]
Wao Ndio Wana mpango na Chadema huwataki hama chama 😂Punguza Ujinga boss chadema haina mpango na Malaya wa kisiasa
Tatizo watu wanaamini upendo anasukumwa na njaa, je Trump naye anasukumwa na njaa Kama peneza? Au nayosema Trump ni utashi wake bila kuhongwa? TafakariHiyo ndio siasa, bwana!!Mbona Lissu ametamba na udhaifu wa muungano kwa, wiki tatu na CDM wakashangilia kwa nguvu sana.
Peneza kuweka wazi madhaifu ya CDM, kelele kila upande. Kule USA Trump anamwambia Biden, kwamba ni crooked na kwamba tarehe 27 June, 2024 ,kwenye mdaharo kupitia, CNN na ABC atamuonyesha crooked Biden Kaz. Sasa Peneza kuongea kupitia Cloud tu, kelele nyingi kutoka mabondeni. Tatizo ni nn?
Kwa taarifa tu.Upendo hajatoka kwenye familia ya njaa wala hana njaa.Siasa kwake ni mwito tu sio kazi ya kumpatia riziki.Tatizo watu wanaamini upendo anasukumwa na njaa, je Trump naye anasukumwa na njaa Kama peneza? Au nayosema Trump ni utashi wake bila kuhongwa? Tafakari
CDM wana bias. Na wanaamini CDM hakuna uchafu. Na kwa kuwa wana a mini hivyo hawataki maovu ya CDM yasemwe.Tatizo watu wanaamini upendo anasukumwa na njaa, je Trump naye anasukumwa na njaa Kama peneza? Au nayosema Trump ni utashi wake bila kuhongwa? Tafakari
Crown redio isiingie kwenye huo upumbavu wa clouds itaipiga bao mapema Sana hiyo redio ya ccm.Nawakumbusha tu akina Clouds, Wasafi, Channel ten nk
Chadema ni blood yaani Uhai kwa walioiamini hata kama Sasa wako CCM kwa sababu za Njaa iliyotukuka kwenye matumbo yao na Ada za Watoto
Imarisheni UVCCM huo Ndio Muarobaini
Mtanishukuru baadae 🐼
Unasema? Rudia tena! Hana njaa huyo binti? Au unadhani afahamiki?Kwa taarifa tu.Upendo hajatoka kwenye familia ya njaa wala hana njaa.Siasa kwake ni mwito tu sio kazi ya kumpatia rizikii.
Pengine uwezo huo hamna ndio maana mmekaa nafasi ya watazamaji.Kwakweli !
Wenye uwezo wa kupambana na Lissu kwa hoja tumebaki kama wasikilizaji na watazamaji ! 🙏😅
Peneza ni mtu mdogo mno, Piriton ina nafuuMuacheni Peneza atusanue yanayotekea Chadema...
CCM ni wabaya na walafi, hata Chadema nao wanaweza wakawa hivyo hivyo...
Itakuwaje Kama mwenye Radio kashika membership Card ya CCM?Crown redio isiingie kwenye huo upumbavu wa clouds itaipiga bao mapema Sana hiyo redio ya ccm.
Ni TAWICCM hudai Kuna vyama zaidi ya 20,
Cha kushangaza , CCM Kila uchwao wanasajili CDM!!
Why!!
Kipara bila akili ni Sawa takoKweli kabisa bwashee upendo chadema lia lia leo kapata bwana mpya anamkadia wa zamani kweli hawaaminiki!
Hakuna mtu yeyote anayeweza kumuingiza mtu yeyote ndani ya Bunge, hata rais hawezi kuingia ndani ya Bunge kwa amri yake. Usiandike kitu ukidhani sisi ni mataahira hatuzijui kanuni na sheria za bunge.Wewe fikiria akina Halima Mdee wamefukuzwa chamani LAKINI kwa Mapenzi yao binafsi kwa Chama bado wako Bungeni wakikiwakilisha 😂😂