Pre GE2025 Unapomualika Makapi ya Chadema kumshambulia Mbowe kwenye TV ya CCM ni sawa na kuipaisha CHADEMA bila kujua!

Pre GE2025 Unapomualika Makapi ya Chadema kumshambulia Mbowe kwenye TV ya CCM ni sawa na kuipaisha CHADEMA bila kujua!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ogopa watu wanaoamini kwamba siasa ni uongo uongo tu na kwamba kwenye siasa hakuna Mungu !!

Watu wa namna hiyo wanaweza kufanya ubaya wowote kwa wapinzani wao bila kupepesa macho !! 🙏
 
Acheni watu waseme, hiyo ndiyo demokrasia. Mnataka kuwazuia kusema kwa kuwa inasemwa chadema? Kama mbowe ana makandokando yake acha yasemwe ili ajirekebishe au aachie ngazi kwa faida ya chama.
 
Nadhani hawapewi tu Nafasi ya kuwa huru

Mfano wamepewa Katibu mkuu m' mama hapo lazima wawe wasikivu 😀😀🌹
yupo wapi Alphonso mawazo, ben sanane na akwilini akwilini? anzori gwanda na wale waliookotwa kwenye viroba?
nani aliwauwa na kwanini?
 
Nawakumbusha tu akina Clouds, Wasafi, Channel ten nk

Chadema ni blood yaani Uhai kwa walioiamini hata kama Sasa wako CCM kwa sababu za Njaa iliyotukuka kwenye matumbo yao na Ada za Watoto

Imarisheni UVCCM huo Ndio Muarobaini

Mtanishukuru baadae 🐼
Ukiwa hujapata posho huwa unaandika point sn, Bahati mbaya Mbowe kawainua hawa njaa njaa hata wakitumika kumchafua sababu ya njaa zao jamaa huwa hajibu chochote yeye huendelea na shughuli zake na kiongozi mzuri anatakiwa kuwa hivyo, UVCCM haiwezi kuwa na watu wazuri sababu ni kijiwe cha wahuni wanaowaza namna bora ya kuiba mali za umma pekee na siyo maslahi ya nchi. Kifupi CCM nzima ni genge la majangili ya nchi
 
Mwalimu alikuwa anaandaa vijana sahivi viongozi wanafukuzana kuiba mali za umma pekee
Hakuna Tena kushinda uchaguzi Kwa sanduku la kura!!

Ni kiwarubuni watumishi was imma police na wasimamizi.wa.uchaguzi TU!!

Wananchi wanaposikia wizi hawana Imani tena na chama chetu!

Harakati za kugawa mkwanja zimeshaanza mapema ,mtifuano unaanza rasmi!
 
Nawakumbusha tu akina Clouds, Wasafi, Channel ten nk

Chadema ni blood yaani Uhai kwa walioiamini hata kama Sasa wako CCM kwa sababu za Njaa iliyotukuka kwenye matumbo yao na Ada za Watoto

Imarisheni UVCCM huo Ndio Muarobaini

Mtanishukuru baadae 🐼
Umeongea kwa uchungu sana
 
Back
Top Bottom