Pre GE2025 Unapomualika Makapi ya Chadema kumshambulia Mbowe kwenye TV ya CCM ni sawa na kuipaisha CHADEMA bila kujua!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
NCHI INA WAJINGA WENGI SANA WAANDISHI WA HABARI MAKANJANJA
 
Tatizo watu wanaamini upendo anasukumwa na njaa, je Trump naye anasukumwa na njaa Kama peneza? Au nayosema Trump ni utashi wake bila kuhongwa? Tafakari
 
Tatizo watu wanaamini upendo anasukumwa na njaa, je Trump naye anasukumwa na njaa Kama peneza? Au nayosema Trump ni utashi wake bila kuhongwa? Tafakari
Kwa taarifa tu.Upendo hajatoka kwenye familia ya njaa wala hana njaa.Siasa kwake ni mwito tu sio kazi ya kumpatia riziki.
 
Tatizo watu wanaamini upendo anasukumwa na njaa, je Trump naye anasukumwa na njaa Kama peneza? Au nayosema Trump ni utashi wake bila kuhongwa? Tafakari
CDM wana bias. Na wanaamini CDM hakuna uchafu. Na kwa kuwa wana a mini hivyo hawataki maovu ya CDM yasemwe.
 
Crown redio isiingie kwenye huo upumbavu wa clouds itaipiga bao mapema Sana hiyo redio ya ccm.
 
CCM hudai Kuna vyama zaidi ya 20,

Cha kushangaza , CCM Kila uchwao wanasajili CDM!!

Why!!
 
Wewe fikiria akina Halima Mdee wamefukuzwa chamani LAKINI kwa Mapenzi yao binafsi kwa Chama bado wako Bungeni wakikiwakilisha πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna mtu yeyote anayeweza kumuingiza mtu yeyote ndani ya Bunge, hata rais hawezi kuingia ndani ya Bunge kwa amri yake. Usiandike kitu ukidhani sisi ni mataahira hatuzijui kanuni na sheria za bunge.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…