Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hujalala tuUnajua huyo atakua ni mbongo tu.
Sioni shida kwakuwa sili chale
Huyo ni mke jamaa yuko sahihi...lakini hawa wa kuosha tu rungu haina shidakuna jamaa yangu alimpa talaka mkewe baada ya kumkuta na chale ambazo hazikuwepo zamani
Sometimes sio waganga ni mambo ya mila Lakini yupi bora aliyechanjwa lakini mashine iko [emoji1533] na asiyechanjwa lakini maharagwe ya Mbeya yana nafuu?Binti mrembo waganga kibao walishamchanja!
Uchawi haufanyi kazi hivyo.. Limbwata la kunogewa unalishwa ama linategwa kwenye kidimbwi[emoji2] Ukichovya maramoja tu umekwisha! Chale ni ulinzi binafsiAhaaa. Waweza kwenda osha rungu na ukanogewa.
Kuna wandele hawana chale hata moja lakini ni wachafu bata kasingiziwa... Hawa kiroho na hata kimwili wana madhara makubwa kuliko mwenye makovu yake ya kuchanjwaMh...
Uchawi wenye nguvu hauonekani kwa macho wala hauna alama. Hayo machale ni makovu tu ya zindiko lililokwishafanyika.. Unaweza hata ukayapelekea ulimi bila shida yoyoye na kama yamekaa pazuri unaeza kuyanona kabisa[emoji7][emoji39][emoji39]Umeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake.
Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina.
Hapa unapata picha gani?
Utapiga mzigo na kunasa?
Binti ni mzee wa kazi?
Hii kitu ndio imekutokeo mida hii? Wewe kula mzigo usihofuUmeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake.
Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina.
Hapa unapata picha gani?
Utapiga mzigo na kunasa?
Binti ni mzee wa kazi?
Uchawi unaoweza kukudhuru utawekewa kwenye kitobo, chakula hasa cha nyama na kinywaji kisicho na kilevi na kisichotoa gesiWazee wa kazi tujifunze kitu hapa
Kweli vile hasa kama kitu kinatetema na ni laini kama supu ya mapupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio rahisi kihivyo.. Dozi yake sio ya maramoja na ni mpaka akuone wewe ni mgodi hai .. Yaani unatemaMkuu tunaogopa kunasa na kukabidhi kadi ya benki
Mwanamke hafanyi jitihada za kukukamata mpaka ajiridhishe at least mambo mawili kati ya hayaNimejifunza kitu. Japokuwa nina mashaka sana.
Na bado anaweza kwenda huko na bado asifanikiwe aidha kwa uwezo mdogo wa mtaalam ama kwa ulinzi binafsi na nguvu ya kiasili ya kiroho uliyonayo[emoji120]