Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Nakutakia alfajiri njema ngoja nikatege wanaojilawa kurejea au kutoka.. Nina new model sijaifanyia majaribio badoMkuu nashukuru sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakutakia alfajiri njema ngoja nikatege wanaojilawa kurejea au kutoka.. Nina new model sijaifanyia majaribio badoMkuu nashukuru sana
Mwanamke hafanyi jitihada za kukukamata mpaka ajiridhishe at least mambo mawili kati ya haya
1. Mfuko uko njema
2. Upstairs uko njema
3. Kitandani uko njema
4. You know how to care!
Na mara nyingi no 1 na 3 ndio vigezo vya msingi
Chale zinahusiana nini na ulichokifuata kwa mrembo huyo? Wengine especially wasukuma ni kawaida sana kuwa na chake. Kula mzigo achana na chale zakeUmeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake.
Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina.
Hapa unapata picha gani?
Utapiga mzigo na kunasa?
Binti ni mzee wa kazi?
Unajua hii mada ilipaswa iwe ya kiumeni tuu [emoji23] sasa hapa wanatusoma kimyakimya[emoji41]Wadangaji wanaangalia namba 1. Hiyo namba 3 wanatafuta mbadala.
Kwa kweli namba 2 naipenda pia naitaka pia! Na 4 ya 3 iko obviously
Kumbuka kuna chale za kikabila...Kifupi huyo mwanamke ni mshirikina na huenda ni mchawi bila kutikisa kidole ktk kuandika!
Kumbuka kuna chale za kikabila...
Ndio basi tena..[emoji23]Tungeificha vipi sasa?
Ni sawa Lakini yote hayo ya nini? Unajua ukimchunguza sana bata hutamla? Imagine asali ilivyo tamu lakini mojawapo ya malighafi zake ni mikojo na vinyesi[emoji851]Mkuu ni ngumu kutofautisha za kikabila na za madawa. Mbona za kimakonde zinajulikana?
Kujikinga Kama Nina vileChale za nini sasa?
Hizo huwa tunaziona pale shughuli ishaishaUmeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake.
Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina.
Hapa unapata picha gani?
Utapiga mzigo na kunasa?
Binti ni mzee wa kazi?
Kuwa Mbongo na chale Kuna husiana vipi??.Unajua huyo atakua ni mbongo tu.
Eennhh!!!,hiyo ni balaa.kuna jamaa yangu alimpa talaka mkewe baada ya kumkuta na chale ambazo hazikuwepo zamani
[emoji23][emoji23][emoji23]. Aiseee Wanaume tuna kazi sana,ni kiumbe anayewindwa sana.Ahaaa. Waweza kwenda osha rungu na ukanogewa.
Tusiomudu Bima za afya tunatafuta tiba mbadala.Chale za nini sasa?
Hili nimeshakujibu tena kwa ufafanuzi mpana[emoji2]Mkuu nasisitiza kuwa tunaogopa kunasa na kukabidhi Atm card. Hawa viumbe ni wengi na siku hizi wanajihami kwa madawa sana.
Dogo wakati mi babu yako,Usirahisishe mambo we dogo