American Dream
JF-Expert Member
- Mar 18, 2022
- 313
- 352
Kuuliwa Nje Nje🙌
That's what I see😳
That's what I see😳
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chalee ktu gan bhanaaaa nilishakutaa mtu kajifunga irizii nikalaa mzigo nikasepaa na cku nilipolala na huyo manzi kesho yakee nikipataa helaa kinomaa
Mbona ni vitu visivyo husiana mkuuUmeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake.
Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina.
Hapa unapata picha gani?
Utapiga mzigo na kunasa?
Binti ni mzee wa kazi?
[emoji57]Huyo ni mke jamaa yuko sahihi...lakini hawa wa kuosha tu rungu haina shida
[emoji40][emoji85][emoji87][emoji57]
Wala hata hamna kuogopa coz chale ni bima ya afya hiyo mzeeUmeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake.
Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina.
Hapa unapata picha gani?
Utapiga mzigo na kunasa?
Binti ni mzee wa kazi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uchawi haufanyi kazi hivyo.. Limbwata la kunogewa unalishwa ama linategwa kwenye kidimbwi[emoji2] Ukichovya maramoja tu umekwisha! Chale ni ulinzi binafsi
Hulali mjukuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushauri mbaya sana huu,.....Mwanajeshi hachagui msitu...
Silali ndyoo, afu bado sijasahau ujue wee. [emoji23][emoji23][emoji23]Hulali mjukuu?[emoji23]