Unapopata message ya BAN humu jamvini huwa unajisikiaje?

Unapopata message ya BAN humu jamvini huwa unajisikiaje?

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
7,046
Reaction score
1,106
BAN inauma jamani. Ujumbe wa ban huwa unasababisha niwe mkiwa!
 
sijawahi na haitatokea..
pole sana mkuu
You have been Banned for 3 weeks. Snail
 
kama wewe ulivyonikorofisha juzi

Si nia yangu kujua alichokukorofisha, bali ni kutaka kumuombea radhi kwa hilo .
Kwani huyu kwa sasa anatakiwa awe ametakata na bifu zote za Jeief.
Anazaliwa upya soon !.
 
Si nia yangu kujua alichokukorofisha, bali ni kutaka kumuombea radhi kwa hilo .
Kwani huyu kwa sasa anatakiwa awe ametakata na bifu zote za Jeief.
Anazaliwa upya soon !.

ahsante mpenz.
 
Kama mimi kwenye Account yangu ya Dazipozi nimepigwa bani ya miezi mitatu,Mx
 
ID yangu ya MNYISANZU imepigwa ban ya miezi 3.
 
Back
Top Bottom