Good Guy
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 3,822
- 1,434
Well,
Kama huna kazi ni huzuni kwa kwenda mbele.
Lakini kama uko busy wala hata haisumbui kabisa. Honestly hizi ban ni nzuri saa nyingine.
bibie cjakuona kitambo,mic u!
Well,
Kama huna kazi ni huzuni kwa kwenda mbele.
Lakini kama uko busy wala hata haisumbui kabisa. Honestly hizi ban ni nzuri saa nyingine.
Umenikumbusha mbalii...Wewe siwezi kurudia kuandika hapa! Tulipishana maneno na Rejao na bahati nzuri tulifungwa wote....
Tukakutana jela, tukasameheana huko huko jela...mpaka leo tumekuwa marafiki, nzuri zaidi kumbe ni braza angu mtoto wa shangazi, sema hizi id za jf hatukujuana lol..
Mimi wala sitaki kukumbuka manake napata uchungu....sijui nilichanganyiwa mbege kwenye ugali nkalewa lol...Umenikumbusha mbalii...
Lakini siku ile ilikuwa too much...lol!
bibie cjakuona kitambo,mic u!
Mi nipo nipo tu.
Nlikuwa mahabusu tu kwa siku kadha.
Nika fanya community service wakaniachia.
Miss you too.